Ndugu zangu,
Nafurahi kuwajulisha, kuwa Mjengwablog. com ndio iliyoibua kwa mara ya kwanza kashfa ya mradi wa gesi unaouhusisha kampuni ya Kisweden ya Pan African Energy , Tanesco na Wizara...
"mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2008)". "Mh. Spika...
SIKUPIGA kura kwenye mtandao ili Mlima Kilimanjaro uwe miongoni mwa maajabu saba ya asili ya dunia. Sikujaribu kuwahimiza wengine wafanye hivyo. Ulikuwa ni uamuzi wa kiakili japo uliniuma kwa...
Jamani hivi, mswada unasema wabunge, wawakilishi, madiwani & viongozi wa vyama vya siasa wasijumuishwe kwenye b'se wana 'full time job'. Sasa mimi najiuliza ina maana watachukuliwa watu ambao...
Ndugu zangu,
Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa William Ngeleja leo anawasilisha bajeti ya wizara yake huku kashfa ya nishati yetu ikiwa ni moja ya ajenda ya shirika la Misaada la...
maeneo matano ambayo jk na ccm yake wanalipotosha taifa ni pamoja na:-
1) kulinganisha utaratibu wa kupata katiba mpya na marekebisho ya katiba iliyopo. jukumu la kurekebisha katiba iliyopo ni...
Muammar Gaddafi's son Saif al-Islam has been captured in a southern
Libyan city along with two of his aides who were trying to smuggle him out of the country, according to a militia commander...
Good Sunday wakuu, leo kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja usiku star tv kutakuwa n mdahalo wa mchakato wa katiba mpya na Tanzania tunayoitaka, wasemaji hapa watakuwa Tundu Lissu na mheshimiwa...
Hakuna aliyejua mubarak atang'oka wala Gadafi atakufa kifo cha aibu na pia waarab watafanya kinacho endelea mashariki ya kati. Kama mtu anahisi wanahisi anawajua watanzania basi amekosea sana...
Mh Rais pole kwa mikikiki inayoendela kuyumbisha serikali ya dhaifu,ni kipindi kigumu sana cha uongozi wako,bunge limefanya kazi yake sasa linapima uwezo wako kimamuzi,si kweli kwamba hukujua...
18th November, 2011 Sixteen years ago, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere warned that corruption if not addressed would disintegrate the Tanzanian nation.
As Tanzania commemorates 12 years after...
Kwa mujibu wa Bwana Vuai Nahodha. Anampango wa kuzibana kampuni za simu ziwataje wanaosambaza hizo meseji, laa watakula ban ya kufanya biznez. Yangu macho. Source ITV.
Haya jamani Kikwete huyoooo nadani ya PTA ndani ya viwanja vya sabasaba.....tuendelee kujuzana
===========
UPDATE
===========
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA...
There is the big diffarence between to lead and to manage, to manage is the job of a manager. The job of the leader is to gather, to manage and to lead people to certain cause. To show people...
Kwa Hali ilivyo, yaani hata mtoto wa Chekechea angepewa Ikulu angeogoza! Viongozi wanafanya Mambo mambo ya kijinga kabisa. Inatakiwa tuanze upya kama vile ndo tumepata uhuru jana! Otherwise this...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake kama anastahili tumpe!Kumbe si kitu cha ajabu kufanya kampeni za urais kwa kuitumia familia yako kama alivyofanya jakaya mrisho kikwete kufanya kampeni za bmw...
Baada ya Mh. Tundu Lissu kurejea taarifa ya Kamati teule ya bunge juu ya Jairo scandal alitaja baadhi ya majina ya watu waliolipwa posho kubwa (500000) kwa siku. Moja kati ya majina hayo ni Dalai...
Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Mchezo unaochezwa na wenye kucheza hucheza. Mchezo huo huchezwa na wale wenye kuupenda mchezo huo. Ukikaa pembeni wanakushangaa...
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.