Ningekuwa Pinda ninge edit hotuba yangu ya kuahirisha bunge la 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa Pinda ninge edit hotuba yangu ya kuahirisha bunge la 5

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbojo, Nov 19, 2011.

 1. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya Mh. Tundu Lissu kurejea taarifa ya Kamati teule ya bunge juu ya Jairo scandal alitaja baadhi ya majina ya watu waliolipwa posho kubwa (500000) kwa siku. Moja kati ya majina hayo ni Dalai Kafumu ambaye ni mbunge mpya wa Igunga.

  Pinda kwenye utangulizi wa hotuba yake , alimpongeza huyo mlipwa posho kubwa kwa ushindi wake na kuisifia CCM kwa ushindi huo. Ningekuwa mimi ninge edit hotuba yangu na kuacha hayo ya uchanguzi wa igunga kwani ni aibu kubwa kusifia mtu anayetajwa kwenye jairo scandal(ufisadi) Kwa hili ni aibu kwa CCM na wanaigunga.
   
 2. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka umenena Vema haiwezekani usome hotuba ya kumsifia mtu ambaye amechafuka kwa kupokea posho kubwa kiasi kile tena isiyo halali katika utaratibu wa kawaida wa ulipaji posho za serikali!!!
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Baada ya Tundu Lissu kumnukisha Dr. Kafumu, nilimsikia spika akisema huyo ndiyo mnyonge wako naona.
   
 4. i

  intellectual39 Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I saw the same
   
 5. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kijana alikua na ham kwelikweli ya kwenda mjengoni ili azikusanye kodi zetu! Looh! Wajinga wakubwa
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli wezi ni wezi tu! wanasifiana! Loh!!
   
Loading...