Habari ndio hiyo jamani, wale wapiganaji wa libya ambao walidharauliwa na kutukanwa na khadaffi wamefanikiwa kumtia mikononi mwao mtoto wa khadaffi, na wanampleka tripol kwa ajili ya kumshitaki.
Wana jamvi yule mtoto wa Gadhafi amekamatwa huko southern libya akijaribu kutoroka akiwa amechoka, kachafuka na mwenye njaa..watoto wa watawala mmejifunza nini? je gadhafi na familia yake laiti...
Tumechoshwa na huu usanii wa mheshimiwa nyoosha wa kujidai mtoto wa mkulima na kulia lia hovyo kumbe hamna kitu.He is the worst PM in the history of Tanzania.Hivi mtoto wa mlkulima unamjua? Kwanza...
JK (Mkwe.re) hana sifa ya kuitwa Dictator, anajaribu kusema watu wanamuita Dictator simply for political Sympanth,hakuna aliyemuita JK dictator, bali Mamlaka makubwa aliyonayo ki Katiba, anaweza...
Nipokea huu mswada wa katiba mpya ,wazalendo tuujadilini tuvishungue vifungu kimoja baada kimoja kama unatupa furasa nzuri ya kutoka maoni wananchi.
Tusitumie maneno ya kuropoka ropoka ispokuwa...
Wadau nimesikliza mjadala na michango ya wabunge ktk kamati
teule yabunge ya kumchunguza Jairo.Pamoja na mambo mengine
wabunge wameunga mkono Luhanjo kuwajibishwa.
Mh Zambi alikwenda mbali zaidi...
Nimefuatilia sana bunge la leo kwenye sakata la Jairo kwa akili ya kawaida hata bila kutumia Calculator imejionesha wazi kwamba Wabunge wote wa CCM na CUF walishawishiwa au kurubuniwa wapitishe...
nimefuatilia kipindi cha tuongee asubuhi na nimesikitishwa sana na tabia ya Godfrey Dilunga anavyotumia vibaya weledi (profession) wake. Ameingia kwenye kipindi na mentality ya kutaka kutetea...
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.
1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama...
wakuu nisaidieni picha za nyumba za makuti pale dar manzese,gezaulole,mbagala,kimbiji nk ili mkuu wetu ajue wala si watalii au fashen ni ugumu wa maisha tu
Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kumsikiliza Rais jana waangalie marudio ya hotuba yake inaendelea sasa hivi Tv Tumaini. Baada ya kuangalia na kumsikiliza kwa watakao muelewa walete hoja na...
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa...
Wanajamiiforums,
Kutokana na kifungu (19) kilichoongezwa katika mswada kama alivyosoma mwanasheria mkuu wa CCM-warema, ni kuwa atakayepinga au kuzungumzia maamuzi ya mswada ulopitishwa bunge la...
Rais analo jukumu la kumuwajibisha Ngereja. Lakini je? Waziri huyu atasubiri kauli ya rais kumpoka kiti badala ya yeye mwenyewe kuchukuwa maamuzi ya busara kuachia ngazi! Ikiwa JK atapiga kimya...
Nimesoma na kusikiliza hotuba ya rais kikwete. Pia nimefuatia maoni ya watu mbalimbali kuhusu hiyo hotuba ya rais kikwete.
Kitu kikubwa nilichogua ni kwamba rais kikwete aliandaa hotuba ile...
Wana JF,
Kumekuwa na watu wanaodhani baadhi ya viongozi CCM ni waadilifu na wapiganaji wa maslahi ya wananchi. Watu wengine wamefikia hatua ya kuwaita wanaowakosoa hao malaika wao wa CCM kuwa ni...
kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa tz kifungu cha 144
144.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine yaliyomo katika ibara hii, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Jamhuri ya Muungano...
Nimekuwa nikijiuliza,
Kwa nini kila mara JK anapokuwa na dukuduku hukimbilia kuongea na wazee wa jiji la Dar es Salaam.
Hivi hawa wazee ndio Habari Maelezo ya JK???
Kuna nini hapa. Mbona sijasikia...
Kikwete alitoa hotuba ndefu sana, hapa ni sehmu ya hotuba hiyo ambayo alinung'unikia kuhusu malalamiko ya katiba.
Mchakato wa Katiba
Ndugu Wananchi;
Kama mtakavyokumbuka tarehe 31 Desemba 2010...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.