Tujikumbushe maelezo ya hawa watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe maelezo ya hawa watu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mcheza Karate, Oct 18, 2011.

 1. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  "mh. Spika hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie bunge hili tukufu.(Dr.H.Mwakyembe, Dodoma, 6. Feb.2008)". "Mh. Spika nimesimama hapa kuelezea masikitiko yangu ofisi ya bunge hadi ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo, nimeonewa sana ktk hili"(Edward N. Lowassa, Dodoma, Feb,7,2008). "Mh.Spika napenda nitumie nafasi hii pia kumshukuru kwa moyo wa dhati kabisa mh. Edward Lowassa aliyeamua kujiuzulu kutokana na kuipenda nchi yake"(Mizengo Pinda Dodoma Feb,9,2008). Mwana JF umewahi kutafakari kauli hizi namna zinavyokanganya? Kumbe EL anaipenda sana nchi yake?(nadhani TANZANIA). Kumbe mratibu na mtekelezaji wa shughuli za serikali anamjua EL jinsi anavyoipenda nchi yake kumbe!!!!!!!!!! Hebu tafakari kabla ya kutoa jibu.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  ungeziweka katika mfumo wa sauti tuone kama walikuwa wanayasema hayo kwa moyo mweupe kabisa!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unatufundisha nini hapo kuhusu kauli ya mwakyembe
   
 4. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mwakyembe alikuwa anamaanisha kuwa katika ripoti yao walikuwa huru kuandika ukweli, hawakubanwa na mgongano wa maslahi.
   
 5. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mkuu haishangazi baada ya issue kubuma ni el alimteua mizengo na jk kutangaza tu
   
 6. u

  utantambua JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thread bora ya siku. Kweli nchi ilikumbwa na homa ya kutaka kujua nini kitafuata baada ya ripoti ya mwakyembe. Hali ilikua ya mshawasha mkubwa.
   
 7. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  mkuu mbona unanena hisia zenye kaukweli kwa mbaaali!
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Napita tu
   
 9. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwakweli kauli za Pinda kama mtoto wa mkulima zinanipaga shida sana kuzielewa, nadhani pia anavimelea vya ufisadi na ndo mana anatumia nguvu nyingi sana kuabsorb shock mbalimbali za masuala ya hovyo hovyo yanayoikumba serikali yake. Kimsingi namchukulia kama msaliti ambaye analinda maslahi ya watawala badala ya wananchi.

  Sio hayo tu alishasemaga kuwa hata tumuue suala la meremeta hawezi kulizungumzia kwamaana linahusisha jeshi/usalama wa nchi. Alishasemaga serikali imeamua kurejesha hisa zote za kiwira bila kutuambia kwa Mkapa zilifikaje, alishasemaga tuue wauaji wa albino. Yani ukimwangalia Pinda kwa Microscopic eyes, utagundua ni wale wale. Sijui tulitoka nae wapi hadi atuongoze, ama kweli kuchamba kwingi mwisho hutaka na.....nnyer
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kweli we kiboko; ina maana hayo maneno ukuwahi kuyasikia!!!, nimekua na wasiwasi na mchango ktk siasa.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kumbe EL ni mzalendo hivo sa mbona hadi leo bado hajarudisha noti alizokwapua
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Inategemeana na mtu mwenyewe anayetafakari: uwezo wake, mapokeo yake juu ya maneno hayo na pengine zaidi kabisa kama unajisikia tu kumchukia au kumpenda mzungumzaji. So wewe jipime ni zaidi ya kama yalivyo. Nani alisema maneno hayo ya bluu? Pinda au SPIka? hujaeleweka hapo mkuu fafanua vizuri
   
 13. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Hiyo bluu ya mdau hapo juu ni maneno ya "mtoto wa mkulima"
   
 14. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Dah! Kitambo sana na siasa zetu uchwara
   
Loading...