Kuna Mchezo Unachezwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Mchezo Unachezwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Nov 17, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Mchezo unaochezwa na wenye kucheza hucheza. Mchezo huo huchezwa na wale wenye kuupenda mchezo huo. Ukikaa pembeni wanakushangaa kwa nini hutaki kucheza na ukiingia kucheza utakavyo watakuuliza 'mbona huchezi kama sisi'?

  Ukiwaambia mchezo wenu haufuati kanuni wala mlio wa muziki watakuambia haijalishi wewe cheza tu alimradi uonekane unacheza.

  Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Ukialikwa kucheza utacheza au utabakia kutazama? Au utajaribu kutaka mchezo ubadilishwe ili wengi waufurahie kwa kufuata kanuni, na mirindimo yenye kuendana na uzuri wa mchezo wenyewe?

  Ndugu zangu, kuna mchezo unachezwa, na wapo wenye kupenda kucheza mchezo huo!  MMM
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Naomba nikupe mji MMM!!!
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nimetoka kapa ngoja niwe mtazamaji labda nitaambulia.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  I'm confused I admit. Nikupe mji wa Dodoma?
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huu mchezo utakuwa ni ule unaosimamiwa na kuendeshwa na tff! Bila shaka nimepata, au siyo?
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  MMM,
  Mbona leo umekuja kivingine umekuja kwa vina tata!

  Tudokeze basi mchezo gani unachezwa na nani wanacheza!
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tukubaliane kwanza kanuni za mchezo kisha sote tucheze. Mchezo hupendeza pale unapochezwa na wengi kama siyo wote.
   
 8. j

  jigoku JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  MMM tukiwaacha wacheze hautatudhuru mchezo huo,na tukitaka tucheze je tutacheza kama wao au tutacheza kwa kufuata tune na melody ya mlio wa mchezo.au tuwaache tu wacheze lakini najiuliza nini hatima yake?

  Au tukitaka kuwafunza kucheza kwa kufuata kanuni za kucheza mchezo huo watakuwa tayari kupokea maelekezo ya kucheza? Any way tuujadili mchezo wenyewe
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Well inaonekana wengine hata mlikuwa hamjui kuna mchezo unachezwa.. well lets see tutaona muziki utakapoisha na kukuta watu wanaendelea kucheza... kumbe walikuwa viziwi!
   
 10. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimekusoma mkuu, hao ni magamba. Wabishi na vilaza hakuna mfano.
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Au mjadala wa mswada wa katiba?
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kuna mchezo unachezwa, na wanopenda kucheza hucheza hahaaaaaaaaaaa! MMM chagua mji.
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kuna Mchezo Unachezwa!
   
 14. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  waache wacheze ila sisi wananchi ndo tunaenda na bit....wana mda mchache tu maana kila siku wanaahirisha huu mswaada...
   
 15. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh! MALENGA!!
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Kwa kutumia uzoefu wangu humu ndani,MKJJ kuna something unapika.

  I cant wait to see it...
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mchezo unaopendwa na watu ni halali kuchezwa na watu!

  Mchezo wa watu wote kwanini ukae pembeni wewe si mtu??

  Mchezo mzuri kanuni zake huandaliwi kabla ya kucheza!

  Kucheza bila kufuata kanuni ni kuharibu utamu wa mchezo wenyewe!

  Huwezi kupenda huu mchezo hadi ucheze kwanza

  Hairuhusiwi kubadili kanuni kabla ya kucheza, sharti uwe uwanjani ndio utabadili kanuni.
   
 18. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  I dance to my own drum beats!
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utakuwa unaucheza mwenyewe huyo mchezo mwanakijiji! Sisi ni observers tu!
   
 20. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Yes mchezo wenyewe ni katiba. Kila mtu anaitaka lakini wananchi walio wengi including wapinzani wamegoma kucheza mpaka kanuni zifuatwe. CCM wanatulazimisha tuingie tucheze lakini bila kanuni hamna raha ya mchezo.

  Ni wazi upinzani wamekataa kabisa kuingia kucheza; wamekaa pembeni, sijajua wanachi wameamu nini hasa. Je wamekaa pembeni tu au wanampango wakuingia na kuvuruga mchezo mzima ili tuanze upya kwa taratibu/kufuata kanuni?

  Au watakubali kucheza kama wanavyoshauriwa na CCM bila kufuata kanuni?
   
Loading...