Mh.kikwete,ya luhanjo,jairo na utouh uliyafahamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.kikwete,ya luhanjo,jairo na utouh uliyafahamu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Nov 20, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 658
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Mh Rais pole kwa mikikiki inayoendela kuyumbisha serikali ya dhaifu,ni kipindi kigumu sana cha uongozi wako,bunge limefanya kazi yake sasa linapima uwezo wako kimamuzi,si kweli kwamba hukujua mchezo huu mchafu wa wateule wako wa karibu wa luhanjo na jairo,pengine ulitaka wabaki waendlee kufuja rasimali za nchi yetu,luhanjo ni kafuja rasimali za nchi yetu kupitia wizara ya maliasili na utalii hili linafahamika,katika hili tuna mashaka sana na uteuzi wa wateule wa rais ambao wamekuwa wakinyoshewa kidole kila kukicha,katika hili bunge kama muhimili mwingine wa dola limeonyesha kuwa hawa viongozi hawafai kutumikia umma wa watanzania,kilichobaki tuone rais utaamua nini!
  Nawasilisha
   
Loading...