'The Tanzania We Want' Mdahalo wa mchakato wa maoni ya katiba mpya star tv leo

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Good Sunday wakuu, leo kuanzia saa 11 jioni mpaka saa moja usiku star tv kutakuwa n mdahalo wa mchakato wa katiba mpya na Tanzania tunayoitaka, wasemaji hapa watakuwa Tundu Lissu na mheshimiwa Mnyaa, mdahalo utafanyika Movenpick hotel, siku hizi Hyatt. na utarushwa moja-kwa-moja (Live).
Source: Star TV
 
weka taarifa sawa ndugu, Movenpick sio Hyatt. ya mwisho ni Kilimanjaro kempinsk na ya mwanzo haijabadili jina.
 
Sidhani kama tuko tunaelewa tunachokifanya ama ndo kuburuzwa,tulipanga maandamano endapo bunge lingeupitisha mswada huu,kweli bunge limeupitisha sasa badala ya kuongea na kutoa nini tufanye ktk hili leo tunaletewa Tanzania tunayoitaka..how?why?

Tz tunayoitaka itatoka wapi na maoni yanasaidia nini kama tayari tumeongea sana na bado tumeporwa haki yetu?binafsi nafikiri tulitakiwa kujadili "tufanyeje ili kuipata Tz tuitakayo baada ya bunge kukaidi maoni yetu"lakini si upupu huu wa kiinafiki

Bora ningezaliwa chizi nisiweze kufikiria kuliko kufikiria mpaka unasahau hata Tz kama ni nchi ama ni ZOO.
 
It cant be..Mnyaa V/S Lissu lol!! Hii ni kama kumpambanisha hoja za Barack Obama na Livinstone Lusinde mbunge wa Mtera..nadhani Mnyaa is not the right person as far as this issue is concern....Hatafunikwa sana na Lissu na kwa hiyo hatutapata analysis za kisomi zaidi..huyu jamaa atakuja na hoja za Ki-Zanzibar tu ambazo hazina kichwa wala miguu...
 
Ila mkuu nachofahamu, leo CC kuu chadema inakutana kujadili muswada na upatikanaji wa katiba mpya kwa ujumla, baada ya kikao nafikiri watatoa tamko lao, kama ni maandamano or anything else!! Anayefahamu vizuri hili naomba hatujuze.
 
Unapokataa hoja ni vema ukaja na maoni yako kuwa wamwalike nani kuja kupambana na Lisu. Simbachawene, Tambwe au Kilango.
 
Ila mkuu nachofahamu, leo CC kuu chadema inakutana kujadili muswada na upatikanaji wa katiba mpya kwa ujumla, baada ya kikao nafikiri watatoa tamko lao, kama ni maandamano or anything else!! Anayefahamu vizuri hili naomba hatujuze.

Ni kweli mkuu...tuko pamoja
 
Back
Top Bottom