Mwigulu Nchemba amelala wakati jambo nyeti linaendele (kamati ya kumchunguza Jairo on stage)

hahaaaa kumbe ni jembe la ccm? Labda anatafakari jambo, ha ha haaa ccm bana!!!
 
Mwaacheni, hajalala usiku kucha a, si mnakumbuka mambo yake kule Igunga? Anatulamba asali za wanaume wengine.
 
Mwaacheni, hajalala usiku kucha a, si mnakumbuka mambo yake kule Igunga? Anatulamba asali za wanaume wengine.

Duh kweli maana jamaa aliweza kula vya watu kule Igunga pamoja na kukurukakara za kisiasa zilizokuwepo sasa hapo Dom si ndio itakuwa balaa! Ila aangalie tu maana wake wengine wanamatego iko siku atanasa!
 
Usiku kakesha na kimwana,thus uchovu unamsumbua,mzee wa kuchukua wake za watu,sijui atakuwa amechukua mke wa nani!
 
Uchovu wa uzinzi,si unajua alivyofundi kwenye hii fun ya mapenzi,nasikia alikuwa na mama salma ki..........te
 
Hawezi kulala unajua David Jairo ni wa katani kwake kule Iramba Magharibi. Nadhani ndio maana hata hajachangia nadhani
 
Si ni usukumani? Huyu ni wa Iramba na pia sio Ng'wigulu kwenye akili usipime hilo jamaa ni bright sana huyo amesomea ilboru shule ya vipaji maalum na ana first class chuo kikuu. BA na MA uchumi ndiO maana akasomeshwa na benki kuu. Jamaa najua mmelchukia saana ila lina akili sana
 
Ndg Mopao ni kweli jamaa ni mkali kweli tukiwa kidato cha tano alikuwa anatengeneza marking scheem akiwa namwl wa hesabu, chuoni alipasua sana BA yake na kupata first class hivyo ngwanangwa humjui huyu jamaa. Bungeni nimefuatilia mjadala niliona kamera ikimwonesha ameshika tama na mkono moja akisoma sms nadhani jamaa anasikitika au anahuruma sana na huyu jamaa kama ni kweli wametokea kata moja
 
Mbona zile tuhuma za igunga mwanamke aliyekuwa anatajwa alijitokeza akakanusha siku wanafunga kampeni kwa hana uhusiano na hajawahi kuwa na hata mazungumzo tu na mwigulu bali kuna mpango tu ulifanywa ili kumpunguza kasi ya kampeni maana alikuwa anamikakati sana. Na jambo hili nasikia ccm wenzake walioona anag'aa sio busaar kulibeba kama vile tumeshuhudia
 
Ng'wanangwa umenishtua sana una hoja ya kitoto kweli kweli hivi jina linaweza kumwongezea mtu akili, umetoa argument inayokuoneha kuchoka kweli kiakili kuliko teja. Sikufahamu ila ninavyomfahamu Mwigulu sio wakulinganishwa nawe kwa IQ,kisiasa na kujieleza. Mwigulu ni miongoni mwa vijana ambao taifa linawategemea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom