Saturday, 19 November 2011
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Bungeni Dodoma jana
KAMATI ya Nishati na Madini ya Bunge imeanika uozo katika uendeshaji wa sekta ya gesi nchini, huku...
Naomba nikukumbushe Maalim Seif na CUF yako kuwa, hasa wewe Maalim, ni msaliti wa watu waliokufa wakipigania hoja ulizokuwa unazisimamia. Ni hakikka kuwa waliokufa zanzibar 2001 hawakufa ili wewe...
Sun, Nov 20th, 2011| Tanzania
Bumbuli Member of Parliament January Makamba
Alarmed by the contents of the Parliamentary report tabled on Friday this week, which nailed the Pan African...
Sunday, 20 November 2011 20:58
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini,January Makamba
Neville Meena, Dodoma
KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua njama nyingine...
Wana JF hebu tuchangie hapa kuna yoyote anayeona kukosekana kwa Dr.Slaa bungeni kuna pengo linaloonekana katika kuchangia na kupitisha hoja mbali mbali bungeni?? na je ingekuwaje angekuwepo...
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea...
Born in 1972, Saif (pictured right) is the oldest of seven children.
He earned an engineering degree in Libya and a business degree in Austria before wrapping up his education with a master's...
Sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na Ujerumani ni kwamba:
1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema...
Ndugu zangu,
Leo nilipata tabu sana hata kunyanyuka kitini kwenda haja ndogo wakati mjadala wa ripoti ya Kamati Teule ya Nishati na Madini ukiendelea. Niliufuatilia tangu mwanzo hadi...
Wanajf naona mbunge wetu lisu anaendelea kuwaburuza wabunge wote wa bunge la tanzania.
Nimesukumwa na hoja ya kwamba ana uwezo wa kusimamia anachokisema(hateteleki),jana amenifurahisha sana pale...
Wa jf nisaidieni ili nijue kama kweli balaza la wawakirishi zanziber walipinga mswaada huo na kama ndo ivo kwanini hawa mps wanaotoka znbr wameukubari?
amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni...
Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 16 November 2011
WAKAZI wa Jiji la Mbeya kwa mara ya kwanza wiki iliyopita walishuhudia filamu ya aina yake. Ilikuwa kama kushuhudia mapambano kupitia luninga...
East Africans We need to avoid the intensity of national politics in matters of regional integration if the process is to achieve results, Juma Mwapachu, the immediate former Secretary General of...
Juzi rais JK amekula moto na upinzani hususan chadema kwamba wanataka kuyumbisha nchi katika mchakato wa katiba mpya. Kama umesoma katikati ya mistari kitu kilichomtisha sana jk ni hoja ya kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.