Nchi Hii inatakiwa Ifumuliwe..Isukwe Upya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi Hii inatakiwa Ifumuliwe..Isukwe Upya!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kahabi wa Isangula, Nov 20, 2011.

 1. Kahabi wa Isangula

  Kahabi wa Isangula JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kwa Hali ilivyo, yaani hata mtoto wa Chekechea angepewa Ikulu angeogoza! Viongozi wanafanya Mambo mambo ya kijinga kabisa. Inatakiwa tuanze upya kama vile ndo tumepata uhuru jana! Otherwise this country will not last! Kila mtu anajijali mwenyewe, si kiongozi,si Mwananchi. We need rebirth of our Nation!
   
Loading...