Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Kwa mujibu wa Bwana Vuai Nahodha. Anampango wa kuzibana kampuni za simu ziwataje wanaosambaza hizo meseji, laa watakula ban ya kufanya biznez. Yangu macho. Source ITV.
nimeipenda hii!we mmasai nini?!
Meti Onyo!
Wanachopaswa kufanya ni kurekebisha dosari zinazolalamikiwa na si kuhangaika na watu wanaolalamika au kutoa ultimatum.
Huku ndiko kupoteza uelekeo. Zama za kuwatisha watu zimepita. Khaaa!
isije ikawa wanawatafuta wa jf
You are genius Mkuu!Wanachopaswa kufanya ni kurekebisha dosari zinazolalamikiwa na si kuhangaika na watu wanaolalamika au kutoa ultimatum.
Huku ndiko kupoteza uelekeo. Zama za kuwatisha watu zimepita. Khaaa!
hakuna wa jf wanayemtafuta hapa. kwanza ni rahisi sana wala huhitaji kutangaza ktk TV kumpata mtu aliyeiingiza kwenye net kwa mara ya kwanza. Tatizo linalokuja ni kuwa imezagaa mno na kumbuka maadhimisho ya uhuru yapo jrani lazima wajue hatma mapema au wapate angalau intelijensia . ukiona waraka kama ule mpaka mama ntilie wafungia mandazi ujue nchi haina usalama wa taifa. Na tatizo jingine hata hao baadhi ya usalama wa taifa yawezekana wapo ktk huo mpango hivyo kila linalofanyika kikosi kazi 2858 wanapata feedback na kubadili mikakakati. Usiombee usalama wa taifa na jeshi wakaasi huwezi kuzuia kitu hapo.
isije ikawa wanawatafuta wa jf
anatafuta umaarufu, hayo maneno yameundwa na kusambazwa na ccmizi napoliccm wao.
soma thread yangu vizuri.Mkuu,
Hakuna kujificha katika net kuna vichwa dunia hii acha tu ze utamu yuko wapi ananyea ndoo segerea. Think before you post anything katika internet.
Uhuru wa kuongea una mipaka yake japo kuwa hao waliotishia wana madai ya msingi lakini ifahamike walichotaka kukifanya ni uhaini na kosa lake ni kifungo cha maisha au kuhukumiwa kunyongwa last time I check. Section 39 and Section 40 of the penal code ya Tanzania stipulates that treason is punishable by death penalty.
Vile vile misprision of treason (someone who knows there are some activities of treason) is punishable by life imprisonment.
Kuweni waangalifu jamani na sheria za nchi sio mnakurupuka.