Rais kanena neno na mwenye masikio na asikie. Big up our President. There is only one president and JK our president. Tume ya katiba mpya itaundwa na rais wa nchi ambaye ni Jakaya Kikwete. Na hili...
Waziri mkuu Mizengo Pinda katika hoja yake ya kuliahirisha bunge leo tarehe 19/11/2011 amesema kuchaguliwa kwa dr. Dalali kafumu kuwa mbunge wa igunga ni kithibitisho kuwa CCM bado ni chama cha...
Yaani mtu anagushi kwenye 20,000 anaandika 120,000tshs mambo ya kizamani kweli.
Inaonekana umu wizarani kuna vilaza wa hali ya juu kama mtu anastaili kulipwa posho 20,000tshs alafu wewe umeongeza...
Survey: Police, judiciary, lands, TRA most corrupt By Sylivester Domasa
19th November 2011
PCCB DG says Africa losing up to USD 40bn to the vice
Experts say country`s tax...
Maaskofu wasusia mwaliko wa JK
Saturday, 04 September 2010 21:33
*Ni kushirikiana naye kula futari
MAASKOFU wa makanisa ya Kikristo na wachungaji mkoani Mbeya walioalikwa kula futari...
As massive poverty continues to rock the majority of Tanzanians, the latest data reveal that Tanzania`s wealth in terms of the top five metals out of eleven provable mineral deposits amounting to...
Hivi sasa jambo linalopigiwa kelele ni Katiba mpya. Binafsi ninaona kwamba hili suala ni la kisiasa zaidi na si la msingi kama kupambana na kuondoa umasikini, ujinga, ukosefu wa umeme, maji na...
Wana JF
Tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.
hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
wa katiba mpya inayokuja.
Maadui...
Mimi si mtaalamu wa sheria lakini napata wasiwasi kwa kutumia ufahamu wa kawaida. Kuna uhalari gani wa kurejea kwenye vifungu vya katiba ambayo sote tumeiona haifai, kutengeneza katiba...
Former Philippine President Gloria Arroyo has been arrested on charges of election fraud.
Mrs Arroyo was arrested on her hospital bed in the capital Manila, accused of cheating to win a seat in...
Wadau wa Jf hivi kwanini? Mbunge wa monduli na wa urambo mashariki huwa hawajadiri au kuchangia hoja zinazo wahusu wtz moja kwa moja. Suala kama la jairo, wizara ya uchukuzi,wizara ya nishati na...
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia...
Hakika Ngeleja Mungu kasikia kilio cha Watanzania,mama asiye na break Mrs shelukindo katoa mpya kwa kutoa waraka bungeni unaonyesha kuwa kila idala ndani ya wizara ya Nishati na Madini kutoa...
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa...
"Wananchi tunaomba mtusikilize na sisi" - George Simbachawene, alipokuwa akichangia muswada wa katiba mpya. Natafakari ina maana wananchi hawawasikilizi?mbona wameshinda na wapo bungeni? Mbona...
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha...
JK anapolinganisha Uchumi wa nchi EAC
1. Mbona anakwepa kuelezea kwanini Rwanda wanaofanya vizuri?
2. Anasema sisi ndiyo tunasupply wenzetu na chakula. Iweje basi anayemlisha mwenzake...
Ndugu wana jopo, binadam yeyote mwenye afya akili bila kujali ni timamu au la huwa anawaza. Nimekuwa nafuatilia kwa muda mwenendo wa namna ya kuwa na katiba mpya na nimegundua kuwa mambo kadhaa...
Wakati mwingine nashangazwa sana na 'maajabu ya Tanzania' na mchango wa wasomi wetu kutuonesha njia.
Huenda tungeomba Tanzania ingeizwa katika maajabu saba ya dunia' kwa ombwe la uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.