Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Nov 18, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haya jamani Kikwete huyoooo nadani ya PTA ndani ya viwanja vya sabasaba.....tuendelee kujuzana

  ===========
  UPDATE
  ===========

   
 2. J

  JALUO Senior Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ****** ndo anakaribishwa na mkuu wa mkoa kuongea na wazee wa mkoa wa dar,
   
 3. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naona wazee na wakina mama wamejazana hapo wakimsubiria mkuu wa kaya afanye mambo yake.
  Sasa anakaribishwa Hashimu mbitwa aje kufungua maongezi
   
 4. J

  JALUO Senior Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wazee wamekula kijani na njano....si mashabiki wa yanga.....inaonekana wengi ni magamba
   
 5. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  TBC wameshajiunga,nawaona wazee ,cha kushangaza naona wanasema ccm oyeeeeee?wazushi kwel
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jamani hawa watu vipi? mbona wanaanza kwa kusalimiana kwa ccm oyeee....ccm oyeeee?
  kwani wazee wote hapo ni ccm?
   
 7. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Wazee wenyewe wamechoka wamevaa nguo za CCM
   
 8. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Nasikia CCM hoyeeeeeeeeee! Duh! Kazi ipo
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Hashim mbita kaimu mwenyekiti wa wazee mkoa wa dar es salaam anaongea kwa niaba ya wazee kabla ya kumkaribisha rais anaongea
   
 10. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi najiuliza mialiko inafanyikiaga wapi???????? just concern
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  hana jipya atakalo waambia zaidi ya kuwatisha kuwa wasishiriki na wahamasishe vijana waisidai katiba mpya. shame on him
   
 12. C

  Campana JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kumbe mizee ya CCM? Kwaheri
   
 13. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  jk yuko,live tbc now anaongea na wazee wa dar................tumsikilize kwanza then..................
   
 14. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,890
  Trophy Points: 280
  Hashimu Mbita anamkaribisha kwa kusema "CCM hoyeee" mara nne hivi, anaongea bayana kuwa hao ni Wazee wa CCM wa Dar es Salaam.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Nazi kwenye Ubwbwa ndo nyumbani kwake.......

  yeye na ''wazee wa dar'' huwezi kuuliza kitu hapo.
   
 16. J

  JALUO Senior Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamaani watanzania eti kikwete anaongea na wazee wa dar afu mzee alokaribiswa kutoa salamu anasalimia ccm hoyeeeee,,,aibu kinoma wakati anajitambulisha kua yeye ni makamu wa mwenyekiti wa wazee wa dar....mmmh ndo uchuro gani huu
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Kwani anakutana na wazee wa DSM au na wazee wa CCM DSM?
   
 18. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anaongea kama Rais wa Jmhuri ya Muungano au anongea kama mwenyekiti wa CCM, kweli nchi ya moto namkumbuka Mgaya
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Rais ameanza kuongea
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Saa ngapi? Anaongea mkuu?
   
Loading...