Mdahalo kesho star tv

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
 
Kuwa explicity mkuu,ajenda kuu ni nini?naamini tutakuwa pamoja
 
Tundu Lisu asiende kwenye huo mdahalo kwa sabababu watajaa vibaragashia kumfanyia fujo kwa ukweli alio usema bungeni kuhusu wazenj na muungano
 
Safi sana. Na momi nitakuwepo kuusikiliza kupitia tv yangu ya Philps.
 
Jamani huyo "nnya" si saiz ya Lissu! Naona mtu anajipeleka kuaibika! Vibarghashia na rangi za kijani zaweza jaza ukumbi! Nami nitafuatilia!
 
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick

Nini agenda ya huo mdahalo? Maana kuwakutanisha Mnyaa na Lisu sijapata picha wanataka kupata nini hawa waandaaji, hawa ni watu wawili wenye kaliba tofauti na maono tofauti.
 
Mustafa Sabodo amewapa Chadema Mil 30 kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi ya Chama wilaya mpya ya Mbogwe Mkoani Shinyanga.
 
muda bado upo *nadhani ingekuwa vyema kupendekeza mtu mwingine fasta waandaaji wakafanyia kazi maana naamini wako hapa...*
 
Huyo mnyaa mnataka kumpa aibu maana si saizi ya Lissu, kwa ushauli wangu naomba CUF wafikilie mara 2 kwanini CCM hawajamleta mbunge wao dhidi ya LISSU, haya bana atajua yeye na aibu atakazozipata kutoka kwa LISSU.
 
Back
Top Bottom