Wajumbe wa tume ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajumbe wa tume ya katiba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Teacher, Nov 18, 2011.

 1. M

  Mr. Teacher JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Jamani hivi, mswada unasema wabunge, wawakilishi, madiwani & viongozi wa vyama vya siasa wasijumuishwe kwenye b'se wana 'full time job'. Sasa mimi najiuliza ina maana watachukuliwa watu ambao hawana 'full time jobs' au watachukuliwa ambao hawana kazi kabisa?
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Tegemea kuona maswahiba na si vinginevyo...
   
 3. M

  Mr. Teacher JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Sasa hao maswahiba watakuwa ni ambao jobles?
   
 4. babad

  babad Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda wachukuliwe mateja ambao ni jobless japo nao wana job ya kuvuta mambo yao
   
 5. i

  ibange JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usishangae prof Kabudi au Dr Bana ndio akawa Mwenyekiti na hayo ndio mashaka ya wapinzani kwamba unamweka mtu wa system kwenye mchakato na ambaye maoni yake na msimamo yanajulikana tayari
   
 6. G

  George Jinasa JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mimi naona tumekuwa na shaka kupia kiasi. Natarajia atachagua watu wenye sifa kwa mujibu wa maelekezo yaliyomo katika itakayokuwa Sheria ya Kuunda Tume ya Katiba. Pia kwa upande wangu na kwa namna ninavyowajua Prof Kabudi na Bana pia wana sifa ya kutosha kuwa katika Tume kama watateuliwa.
   
 7. U

  UNIQUE Senior Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo la watanzania wengi hawaelewi! Kusudio ni wanasiasa wa upinzani wasiingie kwenye tume wasije tufumbua macho. Kweli cdm mmetusaidia sana kuelewa usanii mwingi wa ccm. Ccm ni mafia kwa usanii halafu uwape kuteua tume hii ni sawa kumwachia simba mtoto wako akulelee. Hapo watatunywa kama mbege. Angalia hilo litume la uchaguzi lina mizee sana lakini inasema uongo. Hii nchi imelaniwa angalia zee kama ruhanjo liongo mpaka umri huo. Hii mizee hakuna wanaloweza kutufundisha ni upuuzi mtupu
   
 8. n

  nyantella JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  lets cross da bridge when we reach there! wakileta madudu tuna tupa kule!!
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahaha..ataunda tume yenye sifa...labda si ki kwete
   
 10. k

  kabuga Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si ndo watakuwa Bana, Kabudi,Luhanjo, Jairo, Utto, Ngeleja, Zombe,Kalamagi,Msabaha,Chenge,Lowasa,Makamba,Mwakipesile,Kinana, ila tetesi ni kwamba kuna asilimia kubwa kwa Jairo kuwa mwenyekiti
   
Loading...