Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kulingana na joji marato wa ITV, akimnukuu mkuu wa wilaya ya Musoma, chakula cha njaa kilichopangwa kupelekwa Musoma kilipelekwa Igunga wakati wa uchaguzi mdogo, na kwamba ndiyo sababu ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kuona wabunge wa CCM wakishupalia na kupitisha muswada wa mchakato wa marekebisho ya katiba. Kilichonishangaza ni kwamba sijawahi kusikia mbunge wa ccm akisema katiba ya sasa ina...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kulingana na taarifa ya ITV JK amekubali kukutana na chadema. Je atafanya busara kusikiliza na kuelewa watakayomweleza? ============= UPDATE ============= Ikulu imetoa taarifa kwa Umma...
0 Reactions
159 Replies
14K Views
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limemtetea Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kuwa kiasi cha Sh milioni 76.8 alizotumia kwa ajili ya safari zake za nje ya nchi zilikuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sina sababu ya kuongeza CAPTION kwenye picha hii
17 Reactions
85 Replies
12K Views
Ndugu zangu, WATANZANIA sasa tunakwenda kama mbuzi waliokata kamba. Ukiwafuatilia kwa karibu mbuzi waliokata kamba utawaona wanavyoteseka. Tofauti na mwanadamu, mbuzi wamekosa busara na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nipata taarifa kwamba Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA liko kwenye maandalazi kabambe ya kuwakutanisha vijana wenzao kutoka mataifa mbalimbali barani Africa kuanzia kesho ijumaa hadi...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwanaharakati Marcos amechana mikakati ya Polisi wa CCM kubania maandamano! Angalia Star TV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamvi habarini. Jiji la Mwanza, ni jiji ambalo kwa sasa linaheshimika kwa harakati za kisiasa baada ya wabunge tena waliowahi kuwa mawaziri kubwagwa na vijana wado EZEKIEL WENJE-Nyamagana na...
3 Reactions
112 Replies
10K Views
Jana Katibu wa bunge katangaza majina ya Kamati teule ya bunge kuchunguza uuzaji wa wanyama hai / usifisadi katika Wizara ya Maliasili na Utalii. Ndanimo yupo Mbunge wa mafya ccm kama mwenyekiti...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kimsingi kwa yule alnayejua kuliangalia hili uajumuika kukubaliana na mimi kuwa cdm hawatakutana na rais kama walivyoomba hila watakutana na mwenyekiti wa ccm kwa sababu zifuatazo 1.tangu lini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CCM mara nyingi wamekuwa wakilalamikia juu ya maandamano ya wanaharakati? Na wakati huohuo polisi inatumia kila njia kuziba vibali vya maandamano ya amani? Nini kiko nyuma ya pazia?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau tunauliza, yawezekana siku hizi bila kamati teule hata kama kitu kinasemwa kibaya kwa taifa serikali inakaa kimya mpaka ibanwe bungeni ndo inaunda kamati teule. Tunasema kuna richmond...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nampongeza sana lowasa kwa kunyamazisha vuvuzela zote zilizopanga kufuka moshi kwenye kikao cha cc dodoma akiwemo nape nnauye ambaye kimsingi amefyata mkia!!!!!!!!!!!!!
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mambo hadharani, Edward Ngoyai Lowassa hatimaye amefanikiwa kupenyeza hoja yake ya CCJ ili kukwamisha hoja ya Kujivua Gamba. Habari za uhakika kutoka ndani ya vikao vya CC vinavyofanyika hapa...
9 Reactions
100 Replies
12K Views
Naamini kwenye JF kuna kila kitu, so naomba mwenye copy ya ripoti ya uchunguzi dhidi ya Jairo iliyowasilishwa bungeni atupatie hapa ili wananchi na sisi tupate kuijadili.
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Kwa mujibu wa TBC1; Nape ametoa taarifa kuwa CCM imemwomba JK akutane na vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni. CCM kwa tikitaka ni komesha. Kugeuza-geuza mambo muhimu kwa manufaa...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Tukiandika vitu humu tunaitwa Wazushi. hatunyamazi hadi kieleweke. tunatumia mbinu nyingine kwa maana tuna nyaraka nyingi ambazo tumepata kwa mbinu zetu kutoka VODACOM. Subirini muda utafika...
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Habari za asubuhi waheshimiwa. Ninaomba kama kuna mtu anaweza kuweka copy ya report kamati ndogo ya bunge iliyoundwa kuchunguza sector ya gas. Nitashukuru kwa msaada huo.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waheshimiwa wana JF naomba kutoa mawazo na maoni kwa kamati itakayo kutana na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Nina imani sote tutachangia ili kwa wale wakubwa wa CDM...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom