Inasikitisha sana kwa kila mtanzania kutokana na ubadhirifu wa fedha za umma katika wizara ya nishati kama kamati yeule ya bunge ilivyothibitsha.pia sikubaliani na wale wabunge waliowatetea...
WanaJF,
Kwa hali ya uudwaji wa katiba mpya unavyokwenda ni wazi kuwa itakuwa
ni muendelezo wa usanii unaofanywa ili ifikapo 2015 tuwe tumechelewa
kuunda katiba mpya aidha tupate katiba isiyokuwa...
Tatizo la ufisadi ndani ya PPF limechukua sura mpya na mbaya.
Miezi ya January hadi March, kulikuwa na mjadala mrefu sana hapa jamvini juu ya tabia mbaya za uongozi wa PPF wa kutumia madaraka...
Akiwa ameshindwa kuiwakilisha hoja ya kujivua gamba katika vikao vya Kamati Kuu na ile Kamati ya Nidhamu ya CCM,Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameamua kuisogeza,pasipo...
Gonga hapa usikie sababu za kwa nini wabunge wa CHEDEMA walitoka nje ya Bunge kuukataa mchakato wa kupata katiba mpya.Maelezo hayo yalitolewa na TUNDU LISSU wakati walipoongea na waandishi wa...
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe yuko nchini India anakopatiwa matibabu ya afya yake. Amelazwa kwenye hospitali maarufu nchini India ya Indraprastha Apollo iliyoko mjini Chinai.Kwa...
Chama cha mapinduzi ni chama kikongwe ambacho kinaudhoefu mkubwa wa ndani na nje juu ya maswala ya siasa. Ni chama ambacho kina raslimali watu (wanachama) ambao wanaudhoefu mkubwa katika mambo ya...
MUUNGANO wa Asasi za kiraia zinazounda Jukwaa la Katiba hapa nchini, umesema mpango wa maandamano yasiyo na kikomo kupinga muswada wa mabadiliko ya katiba kusomwa kwa mara ya pili uko palepale na...
Tundu Lissu akitoa ufafanuzi kuhusu Muswada wa Katiba
Video ya Youtube hii hapa Sababu za Chadema kuukataa Mswada wa Sheria ya Katiba - YouTube
MAKULILO
From NASONGELYA KILYINGA in Dodoma
Wednesday November 23, 2011
DAILY NEWS
THE government will present its report during the sixth meeting of the National Assembly on action that will be taken...
Wednesday, 23 November 2011Na Nkwazi Mhango
Hivi karibuni rais Jakaya Kikwete alivunja kimya chake cha muda mrefu ingawa kufanya hivyo, hata hivyo hakukuwa na tija yoyote. Wengi walidhani penye...
> Nimegundua kinadada wengi sana wanataka kuwa wabunge ktk uchaguzi ujao, lkn hakuna hata mmoja mwenye nia ya kugombea jimbo, wengi wanatafuta kujiweka kwa wabunge wanaume wa sasa ili watoe kitu...
Chama cha mapinduzi kipo katika wakati mgumu lakini wa muhimu sana. Maamuzi yatakayofanywa Dodoma yanaweza kukibeba na au hata kukiua.
Kama gamba ni la wanyama wa aina ya nyoka au kinyonga basi...
Jeshi la polisi/serikali tuwekeni wazi watz n nin kinamsibu mbunge wa kyela dk. Harison mwakyembe.ile taarifa alyoiandika kwa jeshi la polisi uchunguz wake haujakamilika?tendeni haki na Allah...
Kila kukicha hali ya kutokuaminiana hapa nchini imekuwa ikiongezeka kupelekea wanachi kutokuamini kama baadhi ya vifo na hata magonjwa yanayowapata watanzania wenzetu hayana mkono wa mtu. Katika...
Rais Jakaya Kikwete ametoa tahadhari kwa viongozi ambao wanawapotosha wananchi kuhusu mchakato wa maandalizi ya kuandika Katiba mpya ambapo amesisitiza kuwa Katiba mpya ya Tanzania itaandikwa na...
Waziri Ezekiel Maige alivyokuwa Rombo wiki 2 zilizopita alisema Mbao zitapunguzwa bei ili wana vijiji wanaoishi rombo na karibu na misitu wasivune miti kwa ajili ya ujenzi. Itatekelezeka?? Hakutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.