Katika kikao kilchomalizika cha NEC ya CCM mjini Dodoma inasemekana mzee Mkapa alitumia mbinu zake za kiuongozi kumshawishi Mkiti Kikwete kuzima hoja za gamba baada ya wajumbe kuanza kuchangia...
Kwa hatua ambapo hatua za kujivua gamba imefikia ndani ya Chama cha Mapinduzi,
ukilinganisha na mategemeo ya watanzania wote wanaofuatilia picha hii, wote, wana ccm
na wasio wana ccm, viongozi...
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo...
:a s 465:jf kwa siku za nyuma tulisoma kwenye magazeti kuwa mkuu wa kupambana na kuzuia rushwa nchi anasema kuwa idara za mahakama na polisi zinaongoza kwa rushwa nchini. Mimi sikubaliani na...
25 NOVEMBER 2011
*Wamshangaa kauingilia mambo yao, kupotosha umma
*Wamtaka awataje wabunge wachanga wasiojua sheria
*Mnyika amshukia Makinda, asema alipuuza wabunge
Na Benjamin Masese
SIKU...
Habari hizi zimetangzwa na TBC1 saa 7:00 mchana leo sikuwa na NET on Phone
pia wametanagaza kuwa watuhumiwa wa richmond wamejititea kwenye kikao na maamuzi yatakuwa ya CC
Walimuhoji reporter wao...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
KURUGENZI YA HABARI NA UENEZI –MAKAO MAKUU
TAMKO KWA UMMA WA WATANZANIA
YAH: KAMATI KUU YA CCM KUMWAGIZA RAIS KIKWETE AKUTANE NA VYAMA VINGINE...
Vikao vikuu vya CC na NEC vimemalizika Dodoma kwa Edward Lowassa kulipua bomu kuwa Rais alikuwa anajua kila kilichokuwa kinaendelea kuhusu richmond. Pamoja na yote yaliyojadiliwa, hoja ya kuvuana...
Baada ya kupigia kelele rasimu ya kwanza Serikali iliondoa mswada na kwenda kuufanyia marekebisho mbalimbali. Je kilio cha Watanzania kimesikika na hoja tulizozitoa wakati ule zimezingatiwa...
Leo wanasiasa wakongwe Mh Warioba NA Salim wamekutana na wanaendelea na mazungumuzo kuomba usuluhishi juu ya Hoja ya katiba.
Source: Mh Zitto Kabwe
Ndugu wanaJF, Dr. Slaa na Jaji Warioba na Dr...
Ujio wa Raila Odinga, utaonyesha aidha unafiki au ujasiri wa magazeti ambayo yaliwekewa pingamizi na mahakama kuandika chochote kuhusu Manji, yakiwamo Mwananchi, Citizen na Raia Mwema, ambayo...
tulianza na kauli mbiu,siasa ni kilimo,kilimo ni siasa,kilimo ni uti wa mgongo wa tanzania,sasa kilimo kwanza.kauli mbiu zote hizi mbona hakuna mabadiliko yoyote?wakulima wetu ni watu maskini...
Mimi nashangazwa na ukimya wa JK kwa watendaji anaowateua. Tukio la juzi tu CAG wetu au Ludovick Utouh alitoa ripoti ya uongo ambalayo ilisomwa na kufanya Jairo arudishwe kazini. kwa ukimya wake...
Wakubwa,Kusema kweli billa kuingiza itikadi za siasa kwa nchi kama Tanzania ambayo imepata uhuru wa bendera miaka 50 iliyopita hatuwezi kuendelea kufumbia macho upungufu mkubwa uliopo kwenye...
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.
Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi...
Kukiwa na sintojua ndani ya CCM hasa CC juu ya hatua gani zichukuliwe kwa makada nguli wa CCM wanaonekana ni mzigo mkubwa kwa chama imefika mahali CC imekaa mara mbili bila ya kupata muafaka juu...
Naomba kufahamishwa hiyo mnayosema sijui miaka 50 ya Tanzania ambayo hadi leo sijajua ni Tanzania ipi yenye miaka 50 mtafanyia wapi sherehe hizo?? sababu uwanja wa uhuru muliozoea kufanyia hujuma...
Ni dhahiri kuwa katika dunia ya utandawazi ya sasa habari yoyote ile inatambaa kwa kasi sana. Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vingi vya watalii. CCM wanapotumia polisi kuzuia maandamano kwa...
From LEONARD MWAKALEBELA in Dodoma, 24th November 2011 @ 12:00
DAILY NEWS
THE National Executive Committee of the Ruling Party, Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), on Thursday ended its two-day...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.