Kwanini CCM na Polisi wanayaogopa maandamano ya wanaharakati? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM na Polisi wanayaogopa maandamano ya wanaharakati?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bujibuji, Nov 24, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  CCM mara nyingi wamekuwa wakilalamikia juu ya maandamano ya wanaharakati? Na wakati huohuo polisi inatumia kila njia kuziba vibali vya maandamano ya amani? Nini kiko nyuma ya pazia?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kama Tanzania kuna polisi, kwanini wanawaogopa al shabaab?
  Polisi wetu hawawezi kazi nzito, nadhani wamesha anza kukameruniwa.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kwasababu viongozi woote wakuu wa Polisi na Jeshi kwa ujumla wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM, hivyo hawapo tayali kumuangusha Mwenyekiti wa CCM, labda wanaharakati wawahakikishie kazi nyingine yenye maslahi zaidi ya hiyo waliyopewa na mwenyekiti wa CCM, ndiyo maana kuna haja ikiwezekana kupata katiba mpya itakayoondoa hii system
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwasababu wote ni wezi na wanaogopa kupinduliwa na nguvu ya umma
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  hili nalo neno
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  watakubali?
   
 7. P

  Paul J Senior Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The way system ya nchi ilivyo hata kama watawala wote ni vipofu bado watalindwa tu na hao wanaojiita polisi. Lakini kadri siku zinavyoenda hata hao polisi watakiuka viapo vyao maana miongoni mwa watumishi wanaosota ni pamoja na hao polisi wenyewe ukiachilia wale high senior officers, the rest are seriously suffering! hata kuwapeleka shule nzuri watoto wao ni issue. Kwa hali tuliyonayo Tanzania polisi na jeshi wako tayari kuwaunga raia mkono lakini raia lazima tujitoe muanga, kama tunasema tunaandama, tujiandae tuandamane, polisi wataanza kutuzuia kwa nguvu zao zote ili waonekane wanatii amri ya wakubwa wao lakini tuki resisit within 4hrs nakuahakikishia polisi wataungana na raia kupinga uonevu uliokithiri. Mfano mzuri wanaujua watu wa A town na MZA pale wanajeshi walipokuwa wakipiga risasi juu wakati huo huo wakiwaonyesha raia alama za vidole viwili na kuwambia wasiogope wako pamoja nao. Woga wetu ndio unatufanya tuwaone polisi ni adui. Ulitegemea saidi Mwema aseme nini wakati CC inasema maandamano yanaweza kumchomoa mshikaji magogoni? These guys knows that the majority poor tanzanians does not support them including the policemen themselselves and the miltary but the only thing to pull us is to use police and miltary intimidations since these always they have to obey the command hata kama jambo si sahii!. Let us decide, police will hurt or kill some of us but the national will set free from these black super magic colonialists-ccm!Kila kitu kina gharama yake, tukitaka taifa huru lenye kujali utu, heshima, usawa lazima tupigane kama ilivyokuwa enzi za kudai uhuru wakati wa mkoloni na heri mkoloni kuliko mafisadi weusi!
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kundi la wanaharakati wakikukataa usiombe hata chembe mkuu, hawa jamaa ni zaidi ya simba jike mwenye watoto ambaye bado tu kajituliza kivulini chini ya mi-mawe mawe na wanawe.

  Si unakumbuka tu mapigo ya Tanganyika Law Society na TUCTA walipoamua kuwa serious kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu na jinsi mamba yalivyogeuka ghafla nchini miezi michache iliopita.

  Vuta subira kidogo juu ya hili.
   
 9. Eistein

  Eistein JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,107
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  by:Einstein
  ​[​IMG]

  I never think of the future - it comes soon enough.
  Albert Einstein
   
 10. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Tatizo sio polisi ndo wanaoyagopa maandamano ila ni watawala ndo wanaoyaogopa kupitia kwa hao vilaza polisi wanafanikiwa
   
 11. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ningeweza agiza magaidi wawalipue walio kwenye mkutano wa Nec dom ningefanya! Maandamano ya wanaharaka wazue,wenye sirikali wanafanya mikusanyiko na jambo la Al shaababu hawalitilii wasiwasi.why us?
   
 12. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nadhani wote wanayaogopa pamoja na waandamanaji wanaogopa kuandamana, kama ni haki kikatiba kwanini waogope? walisikia wapi waandamanaji wanaogopa polisi au jeshi? hata polisi wenyewe wanatuona madoko ndio maana wanakoroma kila wanaposikia, mpango wa maandamano na pia hakujawahi kuwa na maandamano ya tija na maanisha viongozi wetu wa juu kushika bango ili waandamanaji wapate moyo, ila hii leo unatangaza maandamano kesho unasitisha ni woga wa sehemu zote....Uhuru uko karibu ila nani alianzishe kwa dhati na nia ya kweli..? hapo ndio mziki wanaogopa kuwa wahaini na wana amini kushindwa badala ya kushinda kabla ya kushindana..
   
 13. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Bora umeona hilo...ila tz 7+2=14 na hapo kwenye redi ni uoga wetu wenyewe na viongozi wetu...hakuna uhuru unaokuja kama njozi tutajikuta tunabakia na misemo ya ki rasta (one day yes man..Jahhh will provide man) kila siku huku tunaangamia
   
Loading...