BAVICHA mwenyeji mkutano wa kimataifa wa vijana Africa

Mdutch

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
214
77
Wadau nipata taarifa kwamba Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA liko kwenye maandalazi kabambe ya kuwakutanisha vijana wenzao kutoka mataifa mbalimbali barani Africa kuanzia kesho ijumaa hadi jumapili jijini Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari muda mfupi uliopita na katibu mkuu wa Baraza hilo zinasema kwamba lengo kubwa la mkutano huo ni kubadilishana uzoefu na ujuzi wa kimkakati na kimbinu katika maswala ya uchaguzi. kampeni zaidi ya Sera za kimaendeleo kwa vijana. Pia taarifa hiyo inaonyesha kuna baadhi ya vyama tawala Barani Afrika kama kile cha Bibi Hllen Johnson Serlief wa Liberia vitawakilishwa na vijana wao.

Nawapongeza sana BAVICHA kwa kujipambanua kimataifa zaidi na pia inaonyesha jinsi gani Chadema kinajiandaa kukamata dola.
 
That is a way to go!
Bravoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
uvccm wako bize dodoma ...kikao si chao lakini wamejazana huko
 
Wadau nipata taarifa kwamba Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA liko kwenye maandalazi kabambe ya kuwakutanisha vijana wenzao kutoka mataifa mbalimbali barani Africa kuanzia kesho ijumaa hadi jumapili jijini Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari muda mfupi uliopita na katibu mkuu wa Baraza hilo zinasema kwamba lengo kubwa la mkutano huo ni kubadilishana uzoefu na ujuzi wa kimkakati na kimbinu katika maswala ya uchaguzi. kampeni zaidi ya Sera za kimaendeleo kwa vijana. Pia taarifa hiyo inaonyesha kuna baadhi ya vyama tawala Barani Afrika kama kile cha Bibi Hllen Johnson Serlief wa Liberia vitawakilishwa na vijana wao.

Nawapongeza sana BAVICHA kwa kujipambanua kimataifa zaidi na pia inaonyesha jinsi gani Chadema kinajiandaa kukamata dola.

Na mkutano huu utafadhiliwa na wale jamaa zetu wa ujerumani ambao ndio wanao tufadhili siku zote ili tuweze kuibatiza tanzania
 
wala usijali na usiwe na wivu, pia Sabodo siku zote yupo kuendelea kusaidia na kufadhili shughuli za chama madhubuti CDM
 
Inaonekana wazi sera,falsafa,mikakati na maono ya Bavicha yanasomeka na kueleweka kila mahala ndo maana ya hiyo heshima mnayopewa...big up,Tz na Afrika kwa ujumla inawatambua vijana wenzetu!
 
Na mkutano huu utafadhiliwa na wale jamaa zetu wa ujerumani ambao ndio wanao tufadhili siku zote ili tuweze kuibatiza tanzania
Political Retrogressive and out of tune with time? It is clear that you are the one that is following that line of thought
 
Thank you ever so much BAVICHA for this kind of struggle,Sio kukaa na kupanga safu ya mafisadi tu namna ya kuyatetea na kutengeneza mtandao wa kifisadi ili wafisadi milele rasilimali zetu,wafundisheni hao mavuvuzela ya CCM.
 
Back
Top Bottom