Usanii juu ya usanii; JK kukutana na vyama vyote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usanii juu ya usanii; JK kukutana na vyama vyote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Nov 23, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa TBC1; Nape ametoa taarifa kuwa CCM imemwomba JK akutane na vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni.

  CCM kwa tikitaka ni komesha. Kugeuza-geuza mambo muhimu kwa manufaa yake haijambo.

  Nawashauri CHADEMA wasikubali kuchanganywa na vyama vingine katika Mkutano walioomba kukutana na JK.
   
 2. Biz2geza

  Biz2geza Senior Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamegundua kuwa cdm wana hoja ya msingi na kuna uwezekano wakashinda sasa hili isionekana kuwa mabadiliko yametokana na influence ya cdm badala yake wanataka michango ya vyama vingine ambayo hatutegemei kuwa na mpya zaidi ya kile walichokisema bungeni ili baadaye waseme ilikuwa mawazo ya vyama vyote.
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,582
  Likes Received: 1,949
  Trophy Points: 280
  Ndo shida kwa waliodhani katiba hii ni either ya CDM or CCM...

  Tunataka katiba ya wananchi!

  Siasa ama kweli zinalevya!
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Tatizo Chama cha Upinzani hapo ni CHADEMA tu! UPDP iliunga mkono CCM kwenye uchaguzi 2010, Mrema wa TLP aliimuunga mkono kikwete 2010, CUF tayari wameolewa huko zenji na CCM, NCCR tunajua mbatia ni CCM pure, ...Sasa wamepotosha maana nzima ya JK kukutana Chama cha cha Upinzani!
  Nashauri CHADEMA Wakatae kabisa huu upuuzi! Mi niko tayari kuwaunga mkono tuingie barabarani!
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ....lakini hata mkeo ndani kuna wakati anakuwa mpinzani wako, na watoto pia.
   
 6. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  kwa kweli wa TZ tuko softy sana na hawa jamaa (magamba) na wao wanaelewa sana hilo, ni lazima wananchi wenyewe wachukue uamumzi mgumu bila ya kutegemea mbowe, slaa, mrema, mbatia, lipumba nk. hawa wote usanii tu wanaedesha dili zao kupitia wanyonge,
  hakui kitu hapa.
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  lengo lao cdm wagome ili waseme rais aliwapa nafac wakakataa. Wahuni watupu hawa!
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Unajua bunge letu linanishangaza sana na ushabiki wa vyama. Nakumbuka Chadema waliposhinda uchaguzi na kuwa chama rasmi cha Upinzani waligeuza sheria za bunge papo kwa hapo kwa kupiga kura ati kamati za Upinzani zihusishe vyama vyote, kama kwamba siasa zetu zinashindana vyama na sio itikadi na sera. Zikapigwa kura haraka haraka za kubadilisha kipengele hicho ili mradi wawakomeshe Chadema kwa kutoshirikiana na CUF au NCCR - Mageuzi..

  Kwa hiyo sintoshangaa kuona vyama vyote vikialikwa kuupinga muswada ikiwa kweli ni wapinzani au pengine kila upande uwakilishe mawazo yake kwa nini wanapinga..Kama wataalikwa wote mimi ningependa sana kuona mjadala huu ukisimamiwa na rais mwenyewe kwenye luninga (TV), yaani tuwasikie hao wabunge wakipinga ama kuunga mkono kwa hoja ambazo ni pinzani na za hao wajumbe wa Chadema...Au kukutana na rais nako kuna Posho za kikao?

  Inasikitisha sana kuona hata nafasi ya mjumbe kuwakilisha mawazo ya kupinga muswada vyama vinataka kugombania halafu hili sio swala la CCM hata kidogo.. wao hawapingi muswada na ushahidi wao upo ktk muswada wenyewe kinachowaweka roho juu kipi?
   
 9. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ninachoshindwa kuelewa kwenye hili ni kwanba, cdm kama cdm kwenye kikao chao kikubwa waliandaa ujumbe mahsusi na waliomba miadi na Rais wa Jamuhuri wakaunda kamati yao ya kwenda kumuona Rais.
  Taarifa zikatuambia Jk kamwambia Salva aandae ratiba ya kuwapokea fasta!
  Sasa hili la vyama vingine linakujaje? Hvyo vyama vilikuwa na huo mpango wa kuonana na Rais au vinalazimishwa?
  Nakubaliana na mzee wangu Jenerali Ulimwengu, kweli hapa hamna siasa bali ni mipango ya mipangilio ya kuzuga watu.
   
 10. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni wazo la busara sana hongera CC ya CCM,kumbukeni mkutano wa Pinda na CDM walivyogeuza maneno tofauti na mazungumzo na Pinda,bora wawepo na vyama vingine
   
 11. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yani Nape is very Stupid Guy. Sasa JK atakutana vipi na hivyo vyama vingine wakati havijaonyesha nia ya kujadili na Rais kwa kumwandikia Barua? Au ndio baada ya kutoa hili tamko navyo vitakurukupa.
   
 12. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nape has a point in his suggestion inthat the process of constitution composition must be done under consideration of equal representation. Chadema should not attempt to appropriate the president's move to revive the constitution and assume for themselves but rather should allow for other groups have their contributions listened. We should not forget that Tanzania observes rule of law with one of provisions requiring that everyone has the right to air their opinions provided they do not contravene the law itself.
   
 13. mkada

  mkada JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  chanzo cha umaskini nchi hii ni usanii,viongozi hawako seriuou,wananchi nao hivyohivyo
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,219
  Trophy Points: 280
  CUF kataeni kwenda kuonana na Kikwete kwenye kikao cha CDM na JK
   
 15. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,879
  Trophy Points: 280
  Kwa nini CCM wasijiombee nao wakutane na rais? Kwa nini waviombee hata vyama vilivyoridhika na kile kilichopitishwa bungeni? Ikumbuke CHADEMA wameomba wakutane na rais kama sehemu ya pili ya bunge baada ya kutoridhia yaliyopitishwa na sehemu ya kwanza ya bunge (bungeni). Sasa CCM inatakiwa nayo ipime sababu za kuomba kukutana na rais, sio kukurupuka. Kama hawakuridhika na kile walichopitisha bungeni, waombe tu kukutana na rais, lakini sio wajichanganye kwenye kikao cha wenzao, wala wasivilazimishe vyama vingine. Ikumbukwe pia kuna vyama kama CUF vimeridhika kabisa wala havina haja ya mchakato mwingine
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hapa pana changanya kidogo,hiyo kamati ya CC inamtaka raisi akutane na vyama vyote kwa pamoja au kwa wakati tofauti?Na kwa nini hii kamati ya CC ivisemee vyama vingine?Pana nini kimejificha hapa nyuma ya hili tamko la CC?
   
 17. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35

  Sijakuelewa..naomba fafanue kidogo. CDM wameshinda uchaguzi upi? Unajcichanganya zaidi unaposema na wakafanikiwa kuunda kambi ya upinzani.

  Unamaanisha hivyo viti 23 ndio ushindi au hiyo serikali kivuli ndio serikali...Kaazi kweli keli. Amakweli JF imevamiwa.
   
 18. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Jamani chama kilicho dai kukutana na JK ni Chadema, kama vyama vingine vinazinduka kukutana na JK wasubiri kwanza, make malengo ni tofauti.
  Polisi wasijidanganye kutangaza kufuta maandamano,tuta andamana kwa nguvu, tumesha amua litakalo tokea na litokee.
  Make haya majamaa tukifanikisha lengo la kuwa nakatiba bora nayo yanafaidika. Hakika hizi hasira tulizo nazo kwa Serikali na jeshi la polisi, hakika patachimbika
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nawashauri cdm wasikubali kuunganishwa na vyama vingine kama kafu... kafu ni mashangingi na headless political trash
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huwezi kuelewa... upeo umefika mwisho
   
Loading...