Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwandishi Wetu Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Haya ni maoni ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, kuhusu sekta ya gesi na mafuta. Ili kujua zaidi mawazo yake, endelea kusoma...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na maamuzi ya mkutano uliomalizika jana mjini dodoma,na kutokana na Utetezi wa Lowasa,na kuhoji uhalali wa wawili hawa kuzunguka nchi nzima wakimtukana kwa kutumia pesa ya chama icho,je...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Inteligensia ya Gazeti la Raia Mwema imeweka wazi kwamba, hapo nyuma Limewai kumnasa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa akimfananisha Rais Kikwete na Robot kwa sababu ya tabia zake za kusukumia...
9 Reactions
56 Replies
7K Views
Kilumbe Ng'enda amevuliwa Ukatibu wa Mkoa wa Dar es Salaam (CCM) kwa kosa la kutenda maamuzi binafsi kinyume na maamuzi ya vikao halali vya chama. Taarifa tulizo nazo zinazidi kueleza kuwa...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Fri, Nov 25th, 2011 Fri, Nov 25th, 2011| Tanzania The government was yesterday advised to have in place a policy to protect and guide local cotton industries by enabling them to compete with...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeandikwa na Neville Meena, Dodoma UTEKELEZAJI wa mpango wa CCM uliolenga kuwashinikiza watuhumiwa wa ufisadi kuachia nafasi zao za uongozi ndani ya chama hicho, umechukua sura mpya na sasa...
3 Reactions
79 Replies
9K Views
WANAFUNZI zaidi ya 5000 wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, watakosa masomo kwa muda wa siku 40 kutokana na maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Uchunguzi wa Tanzania Daima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetoka Uwanja wa Taifa kuangalia mpira, bahati mbaya nimeshuhudia kituko kikubwa. Ulipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Bendera yao ikiwa imepandishwa. Kesho Timu ya Kilimanjaro Star nao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi haiwezekani kufungua kesi dhidi ya Serikali kwa kuhujumu uchumi! Serikali hivi karibu ilikaririwa ikisema kuwa Mkataba wa Buzwagigate una maslahi kwa nchi. Kuvuja kwa mkataba huo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ilivyopendekezwa lazima tuanze kujipambanua kati ya wanaouunga "Muswada wa Makinda" versus " Muswada wa Wananchi". Kwa mtizamo wangu kama tutajigawanya katika pande hizi mbili, majina haya tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tundu Lisu kama jembe linaloumiza vichwa vya watetezi wa Magamba, hasa JK, Anne Makinda,Job Ndugai, Celina Kombani, AG, Kashililah, Wazanzibari (baada ya kupewa ukweli kuhusu ushiriki wao kwenye...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
hii taarifa imenishitua sana. ati suala la gamba litajadiliwa kwa namna nyingine katika mifumo mingine ya kichama. swali hapa ni je, kuna mifumo mingine rasmi zaidi ya vikao vyao vya cc na nec?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi karibuni rais ameteua wakuu wa mikoa. Wengi wa walioteuliwa ni wale waliokuwa wabunge na kushindwa kuhifadhi viti vyao bungeni. Ndipo nilipopata swali kati ya rais na wananchi nani anamjua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Glory 2 god! Heshma kwenu,magreat naomba mnieleweshe tofauti ya majukumu ya kichama na ya serikali kwa upande wa raisi hi n kutokana vkao vya ccm vlivokuwa vnaendeshwa na jk muda ambao ilibid...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naweza kupendekeza kuwa Lowassa alikuwa na nafasi ya kujijenga upya baada ya kujiuzulu katika kashfa ya Richmond. Wakati ule alipojiuzulu alikuwa bado na umaarufu wa aina yake na umaarufu ambao...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Mbunge wa kigoma kusini na katibu mwenezi wa nccr mageuzi david kafulila amesema chama chao hakihitaji kukutana na Rais JK kwakuwa CCM, Serikali na hata Rais mwenyewe haina dhamira ya kweli ya...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Wapendwa leo nimepata nafasi ya kumuona phothi Wasira akizungumza kuhusu miaka hamsini ya uhuru,akagusia kuhusu sisi tunaotaka mabadiliko akimaanisha kubadili chama tawala akazingatia nchi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"Aidha, imempongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa kwa wazee wa Dar es Salaam kwa ufafanuzi na maelezo fasaha kwa...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Katibu Mkuu wa CCM, MKAMA asema: "Zoezi hilo liliwahusu vingozi wote wa chamA, kuanzia chini hadi juu. viongozi wote wanaotuhumiwa na ufisadi, wajipime wenyewe, watafakari na kisha wachukue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kushuhudia ugumu wa magamba ya EL na AC, nimefikia kujiuliza endapo RA alikurupuka kwa hasira kujiuzulu au alishinikizwa? Endapo RA naye angegoma kujiuzulu, sidhani kungekuwa na tofauti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom