CHADEMA waliomba kukutana na rais wamekubaliwa kukutana na m/kiti wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA waliomba kukutana na rais wamekubaliwa kukutana na m/kiti wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NALO LITAPITA, Nov 24, 2011.

 1. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kimsingi kwa yule alnayejua kuliangalia hili uajumuika kukubaliana na mimi kuwa cdm hawatakutana na rais kama walivyoomba hila watakutana na mwenyekiti wa ccm kwa sababu zifuatazo
  1.tangu lini raisi akitaka kukutana na watu au organization fulani kamati kuu ya chama chake ndo kinatoa maamuzi?
  2.kwa kuwa hoja ilijadiliwa na kamati ya chama chake na wakamuruhusu akutane nao mtakubaliana nami kuwa amepewa na yale atakayo yasimamia na kamati ya chama chake;je katika haya kuna anaebisha kuwa huu mchakato wa katiba ni kwa manufaa ya ccm?
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Head of State Mbowe alisisitiza lakini jamaa wanataka na vyama vingine waingie kuonana na rais!
  Ni kichekesho sana kwa hili,
   
 3. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  napenda nape anavyoburuza magamba!
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  heshima yako mkuu
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Cha msingi ajiandae vema kujibu hoja za CDM! Majembe yaliyoandaliwa kukutana nao si mchezo!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kuongozwa na Mkuu wa Nchi kama Kikwete unatakiwa uwe na roho ya mwendawazimu
   
Loading...