Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania signs a land deal in Iowa (last week)...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Oct 18, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Tukiandika vitu humu tunaitwa Wazushi. hatunyamazi hadi kieleweke. tunatumia mbinu nyingine kwa maana tuna nyaraka nyingi ambazo tumepata kwa mbinu zetu kutoka VODACOM. Subirini muda utafika mtagundua ukweli kwenye mambo yetu. Hii wiki Mtoto wa Mkulima PM: Pinda ametoka Iowa USA ambako alikutana na Agrisol Energy ambako amesign kuwapa hawa watu heka 800,000. Hawa watu wanauza nchi yote. hii inaenda kuleta matatizo. Mtoto wa mkulima elezea umma ulifuata nini Iowa.. Source OAKLAND INSTITUTE

  Iowa-based investor Bruce Rastetter and fellow investors in the industrial agricultural corporation AgriSol Energy have their sights on 800,000 acres (325,000 hectares) of land in Tanzania that is home to 162,000 people.The proposed site is inhabited by former refugees from neighboring Burundi. Most of the residents, several generations of families who have successfully re-established their lives by developing and farming the land over the last 40 years, will be displaced against their will. They will lose their livelihoods and their community. Once they are gone, Agrisol Energy will move in.


  Despite rising international criticism of the proposed plan to evict the residents in the proposed lease areas for foreign investors, the Tanzanian government plans to move forward with the project. We need your help today to make sure that won’t happen. Please send a message to Bruce Rastetter, other principal investors, and the Prime Minister of the United Republic of Tanzania, to urge them to drop this project.

  AgriSol has promoted this large-scale land acquisition as a project to transform Tanzania into a “regional agricultural powerhouse” by combining thecountry’s abundant agricultural natural resources with “modern” farming practices, including the use of genetically modifiecrops.Unfortunately, AgriSol’s plans--which include seeking Strategic Investor Status from the Tanzanian government that would grant them tax holidays and other critical investment incentives (including waiver of duties on agricultural and industrial equipment supplies, export guarantees, and certainty for

  use of GMO and Biotech and production of biofuels), while generating tremendous profit for the investorsiv--will do little, if anything, for Tanzanians. On the contrary, it is likely that if this land deal goes ahead it will set a precedent for future land rights abuses.More details can be found in the Oakland Institute Brief, AgriSol Energy and Pharos Global Agriculture Fund’s Land Deal in Tanzania.

  We fear that this project could move quickly forward unless the Tanzanian government and the US investors realize that the world is watching. We ask that you join the Oakland Institute in holding Bruce Rastetter and AgriSol team accountable and send them the message that proceeding with their plans is not “socially responsible agricultural investment.”
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  wanachotaka ni maafa
   
 3. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ..hawa magamba tuungane tuwangoe vingine tunasubiri maafa zaidi
   
 5. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sasa hapo wanatia petroli kwenye moto. mambo yapo waazi kabisa, hao "interprenuers" wanachofuata kwenye hii wimbi la land grab kinaeleweka vizuri, kwa maana hiyo basi mtu yeyote anayewakaribisha hapa kwa namna yoyote ile ni msaliti wa maskini na wanawe pia ni mwizi wa taifa...and should be dealt with accordingly

  mengi yameandikwa, ukweli umeanikwa wazi kwa viongozi wa afrika wenye ubongo kichwani kuona wazi ili wasije wakaingia mkenge kwa uvivu wa kusoma...lakini hawa viongozi wetu... magamba mpaka mioyoni...

  katika wote napenda zaidi hawa watafiti walivyo hitimisha matokeo ya utafiti wao kitabuni:

  "Virtually all the contracts analysed by this study tend to be strikingly short and simple compared to the economic reality of the transaction. Key issues like strengthening the mechanisms to monitor or enforce compliance with investor commitments, through monitoring and sanctioning, maximising government revenues and clarifying their distribution, promoting business models that maximise local benefit, as well as balancing food security concerns in both home and host countries are dealt with by vague provisions if at all"

  source: Land grab or development opportunity?: agricultural investment and international land deals in Africa: Lorenzo Cotula, Sonja Vermeulen, Rebeca Leonard, James Keeley
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unawapa ardhi yako yenye rutba, halafu unawapa na ma tax holiday na ma incentive mengine, watu wake wadogo wamachinga, wakulima wadogo, mama ntilie, etc wanakuwa taxed, harassed constantly with very little or no help AT ALL.

  Our govt is a BUM.
   
 7. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yani nilipokutana na jina la Iddi Simba nikacheka, naona tuko mulemule shimoni, halafu kuna haya maneno yamenisikitisha sana, ni kama wakati uleule wa utumwani ila wakati huu hatujapigwa minyororo ila tumeshikwa akilini na tumekua kama makondoo.

  (However, the status of economic independence of smallholders is doubtful and unclear. While the local farmers will have access to a limited number of inputs (certain seeds, certain fertilizers, certain technologies) and a limited market, AgriSol, as their buyer, will effectively control prices. Locals will have little to no bargaining power, and any development opportunities for local farmers will be on terms set by AgriSol.)
   
 8. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  What is this? hivi kumbe tunawaonea hawa wazungu wawekezaji tunavyowachukia kwa mambo wanayoyafanya kumbe mchawi tunae wenyewe?

  ("You know, we haven't done that...what I appreciate, from a practical standpoint, is how he [The Tanzanian Prime Minis- ter] understands the country and the capabilities and what we'll need to bring in. They quite frankly think we'll need to [bring in outside farmers], and they're fine with bringing in South African farm managers...the white South African farm managers, to be able to provide that general expertise..."27)

  inakua ngumu kuelewa ni kwanini inakua hivi kwa kweli.
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wel well well

  Now na hii itakua uzushi... Iddi Simba is really a master of the game... from Ua, Dalala to Land, Pride everything

  He is having a good ride

  I am changing my profession today, and quitting all services sh!t... i am going to be a trader
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  thanks for making my day tigopesa! na those ar investors, why go sign the deal at their home?mi sielewagi kabisa kabisaaaaa!na deal kubwa kama hilo la 'kutusaidia' maskini sie lingesainiwa kwenye tv baada ya kucheza ngoma. i wanna curse...
   
 11. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hawa magamba wanajali matumbo yao tu na ya watoto wao.why SUA na mabenk yetu yakausika ktk uwekezaji wa kilimo,then wakauza hisa DSE? Hivi ni kweli Tz na wachumi,wataharamu wa kilimo SUA tunashindwa kuanzisha kilimo kikubwa mpaka aje mzungu?magamba your days are numbered.
   
 12. H

  Haika JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Thank you for ruining my day. Alisema Shivji siku moja kuwa inakuja sheria ambayo rais atapewa ardhi yote. Sie tutamuangalia tu anavyoiuza
   
 13. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni upumbavu kabisa jambo ambalo walitakiwa kukaa, na watalaam wa mambo ya kilimo na kulijadili wafanyeje,wao wanakulupuka na kwenda kwa wazungu kuuza ardhi yetu,hivi viongozi wetu walisoma shule za aina gani?hakuna hata mmoja mwenye akili japo kidogo ya kufikiri kabla ya kutenda?yaani PM bongo lala,bosi wake ndio usiseme,hawa wa chini ndio balaa zaidi,hivi tunasubili nini kuwafukuza?
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Tanzania hakuna wataalamu wa kilimo?. Mtoto wa mkulima hawatendei haki wakulima.
   
 15. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kinachowafanya waje huku ku grab ma land ya bure bure ni increasing world demand for altenative energy. food, mineral deposits and blah blah...
  hakuna taifa lolote linaloongozwa na wenye ubongo linalo fanya biashara ya ku fulfill world demands zisikuwa na manufaa yoyote kwa nchi wakati wananchi wake hata food security hawana...hata dondoo za mikataba wanapanga wenyewe Japan, mkataba gani wa kuuza mali usiohusisha pande mbili tena upande wa pili (wananchi wa kijijini) ukiwa ndio mmliki mkuu wa mali?

  Enyi viongozi wa CCM... haya mambo yanaumiza sana ....
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  just do it buddy

  i do it all the time

  I am just worried na mauaji yatakayokuja kutokea miaka michache ijayo
   
 17. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,084
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  Siku hizi Marekani ukulima wa mahindi unatumika kutengeneza ethanol ambayo inachanganywa na mafuta machafu kupata gasoline. Hii inafaida kwasababu gharama ya ethanol kutoka kwenye mahindi ni ndogo kuliko ile inayotoka kwenye mafuta machafu ya kutoka mashariki ya kati. Iowa ni moja ya majimbo yanayoongoza kwa hiyo tekinolojia ya kutengeneza ethanol. Hii tekinolojia ni kama ile ya Brazil ya kutengeneza ethanol kutoka kwenye miwa.
   
 18. H

  Haika JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  The good thing about these bad news is that we forget them and continue with business as usual
   
 19. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo haitawezekana. Hatuna pesa.
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  ni bahati mbaya kwa wawekezaji wezi, kwani wanaowakaribisha leo siku zao zi ukingoni. Wataingia watu wasiotaka kusikia hbr za wezi, titatimua wote wakatushtaki mahaka ya kibiashara. Na fidia hatuwapi, tutawaambia watudai, na deni halifungi mtu labda wawachukue hawa mafisadi wawalipe, sio siye walipakodi
   
Loading...