Picha huongea zaidi ya maneno... NEC ya CCM huko Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha huongea zaidi ya maneno... NEC ya CCM huko Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Nov 23, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Sina sababu ya kuongeza CAPTION kwenye picha hii

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Zaidi:

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  nngoja ninywe kahawa kwanza
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Now nape and lowasa are good friends can work together
   
 5. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu sijaelewa picha hiyo na maelezo yako,unataka kusema "HAKUNA KUVUANA MAGAMBA au?
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  no more magamba
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu Invisible!! Hawa jama hawapendani, huu ni ushahidi tosha!!!

  EL ni wazi anamsalimi Nnauye Jr ki basi basi tu!!
   
 8. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Balozi/Mkimbizi Nape Nnauye. Na je, hatma ya Msekwa atajiuzuru au itakuwaje?
   
 9. M

  Mzee Madoshi Senior Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mtu mmoja anaonekana kufurahi, mwingine anaonekana kupigwa na butwaa, mwingine anaoneka kutokuwa 'confortable' hata katika kukaa kwake, na mwingine ........nipite haraka hapa...... Kweli picha yaeleza mengi asante sana
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kweli picha huongea zaidi ya maneno. over
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Hivi ni kwanini Magamba hawana rangi moja tu ya kutambulisha chama chao!!!!?

  Ni aibu kwa meza kuu kuvaa mashati yana rangi tofauti tofauti... Hivi hakuna mtu wa kuwafanyia branding ya rangi zao?

  Hii ni dalili tosha ya kuonyesha how irresponsible they are on their own identity!!
   
 12. J

  JokaKuu Platinum Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,145
  Trophy Points: 280
  ..Nape amekuwa kama mtoto aliyelazimishwa kwenda kutoa shkamoo kwa wazee.

  ..but Kingunge looks more uncomfortable kuwepo ktk eneo hilo.

  ..Sumaye naona anaua noma kwa kujidai yuko busy kwa upande mwingine wakati ana kula chabo kwa mbali.
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,511
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Inaelekea Nape kaomba msamaha na kasamehewa. From today on.......................... hatutasikia tena swala la kuvuana magamba!!
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,081
  Trophy Points: 280
  Majizi tu haya yoote!
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,926
  Trophy Points: 280
  Kingunge: Mpe mwenzako mkono na sitaki kusikia tena vijembe kwenye majukwaa.

  Nape: Sawa baba, mtoto akinyea kiganja hakikatwi.
   
 16. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi hicho Kibabu cha pembeni hakifi tu!!!!. Toka shule ya msingi tumekisoma hicho, mpaka sasa tunawatoto bado tu kinaendelea kushirikishwa on serious decision du!. Vijitu vingine sijui vilizaliwa majira gani.. havichoki vipo tuuuuuu!!!
   
 17. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Mliipotosha dhana nzima ya kuvua gamba!
   
 18. B

  BMT JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  nimeipenda hii picha,nape anaaanza kutambua makosa yake,kila mtu ana mapungufu,lowasa ni kiongozi jamani,mwaka mmoja akiwa pm tuliona kazi yake
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mbali na swala la Magamba na kuvuana.. Picha hizi zinanipa maswali makubwa zaidi ya mila na desturi ambazo wazee waliotakiwa kustaafu bado ndio wanashika madaraka makubwa ya chama..
   
 20. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unafiki mtupu hapo,wanapena mikono kutimiza wajibu tu.
  Mkuu Invisible,ile chenji yako nakutumiaje.
  OTIS.
   
Loading...