Report ya Jairo full text

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Naamini kwenye JF kuna kila kitu, so naomba mwenye copy ya ripoti ya uchunguzi dhidi ya Jairo iliyowasilishwa bungeni atupatie hapa ili wananchi na sisi tupate kuijadili.
 
siwezi ku prove ila najua kuwa Ngeleja alijua kilichokuwa kinaendelea, na baada mambo kwenda mrama kwa mara ya kwanza na Jairo kusimamishwa najua pia J.K alijua kila kitu kilichotoke,...
j.k atakuwa anawaza nini kwa sasa kuhusu uamuzi wa kufanya,wote tunamjua J.K na naamini tunaweza kujua ( kwa kutumia uzoefu) kitu gani anachowaza J.K kuhusu hiyo kashwa na uamuzi gani atachukua,hebu tuweke hapa chini basi,
 
atampa jairo ubalozi na ngeleja hatamfanya kitu..anasemag kelele za mlango hazimkatazi mwenye nyumba kulala
 
Kuhusu Ngelea na Malima, JK haimuumizi sana maana hawa ni wanasiasa.. Kinachomuumiza kichwa is where to Dispose JAIRO maana umri wake bado unadai na ukumbuke kwamba ni maswahiba wa siku nyingi. Kuhusu Luhunjo ata by time mpaka December 9 atakapostaafu rasmi. Utouh nae kama tunavyojua alishapitiliza umri so anafanya kazi kwa mkataba pale ofisini kwake so anaweza akamwambi aandike barua ya kusitisha mkataba wake. So ishu hapa is where to Dispose JAIRO.
 
Kama watanzania watashinda kesho Jumatatu bila kusikia kuwa Rais kawaachisha kazi Luhanjo na Jairo basi Kikwete atajiwekea record nyingine mbaya.
 
Kinachomsumbua kichwa J.K jinsi gani atawasaidia hawa jamaa , instead of kuwawajibisha hawa watu,
 
Kama watanzania watashinda kesho Jumatatu bila kusikia kuwa Rais kawaachisha kazi Luhanjo na Jairo basi Kikwete atajiwekea record nyingine mbaya.
Dont waste your precious time to think that he will do anything to these cannibals!!he will just smile and then business as usual!!
 
siwezi ku prove ila najua kuwa Ngeleja alijua kilichokuwa kinaendelea, na baada mambo kwenda mrama kwa mara ya kwanza na Jairo kusimamishwa najua pia J.K alijua kila kitu kilichotoke,...j.k atakuwa anawaza nini kwa sasa kuhusu uamuzi wa kufanya,wote tunamjua J.K na naamini tunaweza kujua ( kwa kutumia uzoefu) kitu gani anachowaza J.K kuhusu hiyo kashwa na uamuzi gani atachukua,hebu tuweke hapa chini basi,
Mmejaa speculation zisizo na msingi. Mwacheni afanye maamuzi bila shinikizo lenu. Bunge limeshaamua, mnataka nini tena?
 
Hebu wote mnisaidie kuhusu hili, bunge liliamua nini haswa kuhusu hii kashwa?
 
Kuhusu Ngelea na Malima, JK haimuumizi sana maana hawa ni wanasiasa.. Kinachomuumiza kichwa is where to Dispose JAIRO maana umri wake bado unadai na ukumbuke kwamba ni maswahiba wa siku nyingi. Kuhusu Luhunjo ata by time mpaka December 9 atakapostaafu rasmi. Utouh nae kama tunavyojua alishapitiliza umri so anafanya kazi kwa mkataba pale ofisini kwake so anaweza akamwambi aandike barua ya kusitisha mkataba wake. So ishu hapa is where to Dispose JAIRO.

Kwa kiburi cha kikwere, Jairo atabaki na post yake hiyohiyo
 
Back
Top Bottom