Kiongozi imara ana sifa moja kuu. Lazima awe na uwezo wa kufanya maamuzi na kusimamia kutetea maamuzi hata kama kutamgharimu. Kiongozi imara harudi nyuma.
JK alifanya maamuzi kuhusu kuwavua gamba...
Mafisadi ndani ya CCM ni wengi sana kuwapa barua hao wachache ni kama kuwafanya wananchi hawajui kitu. Kwa taarifa yenu mnajidanganya tena ndo mnazidi kuua chama.wapinzani watazidi kupeta na...
Kampuni ya Phils International imefanya presentation kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kuhusiana kujenga ukumbi mpya (mkubwa na wa kisasa) wa mikutano ya ccm
My take : Wakati CCM...
Chonde chonde viongozi wa Chadema – katika mkutano wenu na JK kuhusu Katiba mpya, kamwe msikubali ujumuishe vyama vingine kama ilivyopendekezwa na Kamati Kuu ya CCM (CC) kwa Rais Kikwete...
Mie ni Mwanachama wa Chadema, lakini naona kama hawa wabunge wetu wanatumia muda mwingi jukwaani. Chonde msiwasahau wananchi majimboni kwenu msije poteza nafasi zenu mwaka 2015.
Najua kuna...
Mbunge wa upinzani kutoka nchini korea ya kusini amemrushia spika bomu la machozi baada ya bunge hilo kupitisha hoja ya biashara huria kati ya nchi hiyo na marekani
Wabunge wa CCM wanataka kutupeleka tusipo taka inaonekana hawana haja na katiba mpya ndio maana kila anae changia hajikiti kwenye mswada mda wote umepotea kumjadili Tundu Lisu kwa bahati mbaya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeomba kukutana na kikwete kwa nia ya kuzungumzia mabadiliko ya mswada uliopitishwa juu ya uundaji kamati ya kukusanya maoni kwa wanainchi, huku wakiwa...
Baada ya CCM kushindwa kuvua watu magamba na kurudisha hoja CC inaonyesha hata wananchi tukikomaa muswada kandamizi wa mabadiliko ya katiba utarudi bungeni.
Natambua kwamba Lowasa Ni Fisadi kwa maana hakuna aliye msafi ndani ya CCM. Nimefatilia Sarakasi za Cheusi Chekundu zinazochezwa na CCM kujivua gamba na Namna ambavyo akina Nape wanavyojaribu...
Ndugu zangu baada ya utafiti nilioufanya nimesikitika kwamba kuna tatizo la msingi kwenye system yetu ya afya; nimegundua dawa muhimu sana kwa wagonjwa wa akili specificaly wale wenye affective...
Pamoja na kukua kwa upinzani nchini haswa baada ya chaguzi ya taifa ya 2010, bado inavyoonekana kuna kusita sita kwa watanzania wengi katika kuwapa na kuwaongezea wapinzani nguvu ili kuleta...
Kimsingi watu wanapounda kamati ndogo ya kushughulikia jambo fulani huwa na malengo maalum, na kamati hiyo inatakiwa kuwa huru ili kufanya kazi yake kwa ufasaha. Hatuya ya kamati kuu ya ccm...
CC yataka JK akutane na vyama vyote, si Chadema
Wednesday, 23 November 2011 20:35
Waandishi Wetu
KAMATI Kuu (CC) ya CCM, imemwagiza Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya...
Mazungumzo baina ya JK na CDM yamepangwa kufanyika wiki ijayo kati ya jumatano hadi Ijumaa. JK anaweza kuhahirisha ku-assent muswada huo baada ya kukutana na CDM, baadaye NCCR, CUF na CCM...
Kwa maoni yako kiini cha mgogoro ndani ya CCM ni nini hasa? Ni watu? maslahi yanayogongana? Nafasi na matamanio ya nafasi? Ni mgongano wa itikadi na fikra? ni kutoridhika au kuridhishana? au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.