Wana JF yule mahiri wa siasa za kufungua na Kufunga Mikutano ya Kampeni a k a Mjuzi wa ukoo,BWM al maaruf dalali wa nchi Kesho atatinga Arumeru kumaliza kazi.
Habari toka kwa viongozi waandamizi...
naomba kujua njia wanazotumia ccm kupata wanachama wapya,najua chadema wanafanya mikutano ya hadhara na kutangaza sera zao,je ccm wao wanatumia njia zipi??
Nappe amesema CCM haitakuja kufa na itaongoza milele.
Ameitoa kauli hiyo kufuatia kauli zilizotamkwa na wazee 3 ambao ni Butiku, Kitine na mzee Kaduma waliosema kuwa CCM inakaribia kufa bin...
Mbona hawa watetema, wakubwa wanatetema,
Wapo wanahema hema, midomo imeachama,
Na meno yanawauma, mwili ukiwatetema,
Waone waweweseka, na pia wanatetema,
Na upepo haujavuma? Ukivuma ni anguko...
Kutokana na habari za hapo asubuhi inasadikika kwamba waziri aliyejiuzulu kwa kashifa za ufisadi hatimae atajitokeza hazarani kwa kumnadi mkwe wake Sioi akiambatana na Nape ambaye anajipambanua...
Na Stephano Mango, Songea
WANANCHI wa Kata ya Lizaboni Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wametakiwa kuwa makini katika kufanya maamuzi sahihi ya kumchagua Diwani wa Kata hiyo katika uchaguzi...
Hatimaye vile vituo 55 na zaidi vilivyokua vimepandikizwa na CCM na baada ya hapo CHADEMA kuvishtukia hatimaye vimefungwa! Hii ni baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo kutumia makamanda wao...
30 MARCH 2012
LALA SALAMA YATAWALIWA NA VITUKO VINGI
Kigogo CCM adaiwa kudakwa na rushwa
Mbowe arushiwa kombora na lusinde
Chama cha mapinduzi (CCM) kimedai viongozi wa chadema wamekuwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,M/kiti wa ccm Taifa ametinga hapa Arusha mjini usiku huu wa giza kutanda!
Ametua uwanja ndogo wa ndege pale Kisongo na hata kusababisha jam kubwa isiyokuwa na...
Tunapoongelea hali ya chama cha kushika hatamu kuchoka tunamaanisha dira, muelekeo na mtazamo wa makada wake kuanzia wazee na hata vijana kukosa msisimko, mvuto na kusadikisha; vilevile...
Mkwe wa mgombea wa CCM, Fredi Lowassa anatarajiwa kupanda jukwaani Arumeru leo kumnadi mkwe wake Sioi Summari.
Baba mkwe huyu amekuwa nguzo kuu kuhakikisha mkwe wake huyo aliempigania kupita...
Mara nyingi nimekuwa nikiandika juu ya hili kundi la akina Ben,Zitto,Bashe,Kitila mkumbo na vijana wengine juu ya mwenendo wao kisiasa.Hawa ni janga lijalo la taifa na kama hatutachukulia kwa...
Wakati uchaguzi wa Arumeru Mashariki ukikaribia , hali kwa baaadhi ya vyama vya upinzani ni tete na haitii matumaini kabisa kwa wao kushinda. Hali hiyo ni mbaya zaidi kwa CDM kwani waliyokuwa...
Prof Lipumba katoa kali ya mwaka alipokuwa anawahutubia wananchi wa visiwani Zanzibar na kusema wamwogope mtu anayewagawa watanzania kiunguja, kiupemba na kiutanganyika kuwa ahitajiki CUF na...
Agizo la CEO wa TANESCO kutokuwa na JeneretaNdugu Wanamabadiliko,
Nimeona ni vema nitoe ufafanuzi kuhusu suala la Kamati yangu kuiagiza bodi ya TANESCO kuondoa stahili ya 'standby generator'...
Utekaji washamiri
Wakati huohuo, hali ya amani katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki sasa ni tata kutokana na kuibuka vitendo vya utekaji wafuasi wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi...
Chama cha demokrasia na maendeleo kimezidi kupata wakati mgumu katika harakati zake za kuchukua jimbo la arumeru mashariki ugumu huo umejitokeza baada ya madiwani wote...
Mkazi wa Sakina, Omari Abdul maarufu kama 'Omari Matelefone!" amepotea na hajulikani aliko.
Omari ni kada mtiifu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na ni mmoja wa wapiga kampeni maarufu katika...
Mtu mwingine ametoweka huko Arumeru mashariki ambae ni kada wa chadema, siku ya sita leo hajulikani alipo. Source 92.9 magic Tar 30.03.2012, fm saa 07: 45 Wtangazaji Meshack Nzoa na Orest Kawau
Mipango ya viongozi wa CHADEMA kutumia mamluki kwa kisingizio cha kulinda kura zisiibiwe kwenye uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki imeanza kuingia dosari kinuyme na matarajio yao.
Kwenye vituo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.