Kundi hili la Vijana ni janga la kitaifa:Zitto, Bashe, January, Ben, Kafulila & masalia ya Zitto CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kundi hili la Vijana ni janga la kitaifa:Zitto, Bashe, January, Ben, Kafulila & masalia ya Zitto CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ben Saanane, Mar 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi nimekuwa nikiandika juu ya hili kundi la akina Ben,Zitto,Bashe,Kitila mkumbo na vijana wengine juu ya mwenendo wao kisiasa.Hawa ni janga lijalo la taifa na kama hatutachukulia kwa umakini basi taifa litaingia matatani.Kuna siku nilileta sredi inayoongelea kama kundi hili lina mpango wa kuanzisha chama cha siasa.Kilichotokea nilishambuliwa na pia nilishaandika juu ya ben saanane alipokuwa anagombea uongozi wa vijana chadema kilichofuata ni kushambuliwa hadi kufungiwa

  Sasa naona niliyosema yanaendelea kujidhihirisha.sasa hivi kauli waliyoibuka nayo ya ujana ina hatari ya kuligawa taifa katika umri na ni kauli ya kibaguzi.Sina mashaka na uwezo wa zitto kujenga hoja napia Bashe , ben saanane na wengineo.Chadema kuna vijana wengi wenye uwezo wa kujenga hoja ila inasikitisha kundi hili kuwa influenced upande wa akina Zitto.Mpasuko unakinyemelea chama hicho.Vijana wa chadema mbeya na kanda ya ziwa wameegemea upande wa zitto na huko kuna kundi hatari linajiita sauti ya vijana.Dr.Kitila akiwa uingereza anasadikiwa kueleza watanzania kule chadema kuna mpasuko nyemelezi kati ya kambi ya Mbowe na Slaa.Kitila ni mshauri wa chadema aliyetuhumiwa kuweka kanuni chakachuzi za viti maalum

  Ni wakati sasa wa kuangalia kwa makini nyendo za vijana hawa ili kulinusuru taifa kwenye hoja hii ya kibaguzi.Nilishaandika hapa kuhusu ben saanane nikaonekana nina bifu nae.Sasa kuna watu ambao tulisoma nae ni wanachama wa hapa JF.Akina Sizinga walileta tuhuma hapa wakaishia kushushiwa nondo wakaonekana hawafai.Kuna akina Celluzone,Sizinga,Baraka Kange na hata Nape nnauye wanajua ukweli wa ninachoandika hapa.

  Ni muda sasa wazee na usalama wa taifa kuangalia hatima ya taifa hili kufuatia kuendekeza mjadala ulioibuliwa na vijana hawa.mjadala huu hauleti mpasuko chadema tu unaleta mpasuko ndani ya CCM na taifa kwa ujumla

   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Naomba nikuthibitishie kwamba tupo vijana kwenye taifa hili tunaojua tunachokitaka ni nini na hatuko tayari kutumika kutimiza ndoto binafsi za mtu yeyote yule isipokuwa ndoto zetu wenyewe na za watoto wetu ndugu, jamaa, marafiki na Jamii yetu nzima kwa ujumla.

  ELIMU
  AJIRA
  FURSA ZA KUJISHUGHULISHA KIUCHUMI
  NO KWA MADAWA YA KULEVYA
  AFYA
  ULINZI NA USALAMA
  STABLE POLITICAL AND ECONOMICAL ENVIRONMENT
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  hata Nape nnauye wanajua ukweli wa ninachoandika hapa.

  hapo kwenye bluu ndipo ulipotibua..sijasikia slaa wala mbowe wakizungumzia hizi tofauti nazosikia humu jf,tusubiri uchaguzi arumeru uishe tutajua mbivu na mbichi!!!cdm kuna watu makini wengi na wala hatusikii chokochoko zozote kutoka kwao,lissu,mnyika,mdee,lema,wenje..these guys are so loyal to the party,..zitto..mmmh
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,200
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mimi naona Ban inakunyemelea tena
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu sidhani kama hao watu ni tishio kiasi hicho.Hawana uwezo wowote wa kupasua chama.Kama huamini maneno yangu subiri uone.Time will tell
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Zitto ni sisimizi
  Ben anapoteza muda.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizi ni frustrations au una matatizo ya kifamilia? Kama kundi hilo ulilolitaja ni janga la kitaifa ni kundi gani unalotaka kumshawishi hata kichaa wa kitanzania alikubali badala ya hilo? Lusinde? SUGU? LEMA? au kundi gani? nikajipumzikie tu, naona muda huu watu wamejichokea.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huwaoni watu tishio katika taifa hili?...Why thinking in utopian manner?
  Kwanini tusianze na wanaotumaliza kwa kuua uchumi huu kwa kusaini Megawati ambazo hata hazionekani zinaenda wapi, matokea viwanda vinafungwa na kusababisha vijana wetu kukaa kijiweni wakishindana na jua!...
  Sijafanikiwa kujua unatumika na nani!
   
 9. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi nashangaa kila vijana wanapoibuka na mawazo yao mnachanganyikiwa.. It's all part of the hegelion theory of thesis-antithesis-synthesis; without two conflicting ideas, CDM would grow stagnant and repetative and even these boards (JF) would be boring!

  Tupo imara na tunaelekea muelekeo sahihi kabisa, na bila hawa vijana kuwepo na kutoa changamoto zao yawezekana tusingekuwa hapa tulipo kimafanikio ya kichama.
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  who is this ben guy in chadema politics anyways?never heard of him!!!au ni shibuda?
   
 11. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Nuclear, please do the needful
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  acha tu nilikula ban mpaka nimezoea na sitegemei kukosa ban kwenye hii sredi

  kama hujui hoja kaa mbali usilete dhika hapa. Kwa taarifa yako hili kundi ni hatari kwa maisha ya baadae ya taifa.vijana wana jazba na wanachoangalia ni kushika mateka taifa.hii misimamo yao imekuwa chanzo cha umwagaji damu kwa watu wa sampuli hii katika nchi zinazoendelea hasa mashariki ya kati

  Ben Saanane namjua vizuri.pamoja na uwezo wake wa kujenga hoja na kipaji cha kushawishi lakini siwezi kuunga mkono siasa zake . siasa za ubaguzi ni mbaya ndiyo maana ANC afrika kusini wakamsimamisha uanachama julius malema kwa kuligawa taifa na vijana.saanane na malema wanafanana na nilitoa tahadhari kwa chadema kipindi anagombea uenyekiti.mambo amabyo yangetokea yasingekuwa tofauti na ya julius malema.chadema wangekuwa wanahaha kujisafisha mbele ya mataifa mengine kutokana na madhara ambayo angesababisha

  huyu ni mtu wa visasi na radical haamini kama wengine wana uwezo wa kuamua kama yeye.kwa kifupi ni dikteta,another ghaddafi in the making.jinsi ambavyo ghadafi alivyotaka kuigawa nigeria kidini na alivyofanikiwa sudan ndivyo amekuwa akifanya chuoni kwenye uongozi wa wanafunzi wa jumuiya ya kimataifa.nilieleza jinsi alivyotumia ukabila kujipatia kura za wakenya na kuwadhalilisha wakisii kisa hawakumuunga mkono alipokuwa anagombea.alichochea chuki na mtafaruku dhidi ya watu wa afrika magharibi ili apate kura za ghana na ivory coast dhidi ya mgombea kutoka nigeria.baada ya kushinda uchaguzi hakutoa nafasi kwenye serikali yake aliyounda kwa wale ambao hawakumuunga mkono na kuhakikisha anapiga kampeni chafu hadi waliposhindwa chaguzi za ndani za jumuiya za nchi zao kama jumuiya ya wakenya alihakikisha lewis onyoni kiongozi wa jumiya ya wakenya anashindwa na hadi leo wana ugomvi mkubwa.huyu ana chuki na jirani zetu wakenya

  Kuna siku chuoni alitoka nje kisa maprofesa walimzuia kujibu hoja za mwanafunzi wa kikenya juu ya sera za kenyata dhidi ya sera za ujama za mwalimu nyerere.jama alinyanyuka ghafla katika mjadala ule wa wazi na kutaka kujibu bila protocal.kwa kuwa anajulikana juu ya ugomvi wake dhidi ya wakenya na chuki dhidi ya wazungu wakatumia akili ili asizue vurugu ukumbini.jamaa akatoka nje kwa jeuri.ndiyo maana sijashanga kuona zitto akiongelea kwenye makala yake atafanya maamuzi yatakayowaudhi mabwana wakubwa wa magharibi.Zitto nae anaonyesha chuki ya hali ya juu dhidi ya wazungu.tabia zao zinafanana ni tabia za uasi na hulka za kijeuri.watu kama hawa wakipewa madaraka wengine tutahama nchi

  Nilimuuliza ben aje ajibu tuhuma hapa atuambie masters yake ya International relations alisomeshwa na nani?ya uchumi alisomeshwa na chuo baada ya kusomeshwa na serikali digrii ya kwanza hilo na kubali.je international relations alisomeshwa na nani? Diploma yake ya Forensic investigation hakuitaja alipokuwa anagombea uenyekiti bavicha,na hii ilileta maswali mengi kwani hata balozi mama eva nzavo aliuliza ilikuwaje asome hiyo kozi iliyohitaji kibali maalum kutoka serikali ya india na haikupitia ofisini mwake hadi chuo kilipomwandikia baada ya kumaliza?Nitamwaga data za kutosha akitaka aje hapa akanushe.umafia wenu msiulete kwenye siasa za tanzania,msituharibie nchi.nendeni huko masharaiki ya kati kwa ma ayatollah wenzenu wajinga wakubwa nyie
   
 13. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  vijana ndo tutakaoleta changes na wala ss sio janga la kitaifa,labda kama una ajenda zako
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Msituondowe kwenye Attention ya uchaguzi wa Arumeru, hizi thread za akina Mwepesi Kabwe zinachefuwa radha ya JF. iMETOSHA SASA.
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  yes let me do the needful.hizi imebidi nitoe facebook ...kuna ambazo tunazo kwa ajili ya kama atagombea uchaguzi
  View attachment 50455 View attachment 50456
  aligombea uchaguzi wa vijana chadema na akaenguliwa na kamati ya wazee kwa kuunda alliance na wagombea uenyekiti wenzake akina Nyakarungu,mwampamba na akina mchange.kwa sasa juliat shonza makamu mwenyekiti aliyekuwa mgombea mwenza wake nia hawara yake.Ni dogo mwenye kisirani kibaya sana.ana visasi balaa,JK muweke kando na kwa kupenda totoz huyu ni JK wenu wa pili.Ndiyo maana ameivana sana na genge la wazinzi huko chadema Zitto kabwe wa amina chifupa na husna wa hussein bashe wa ccm.

  ni mbishi alkiyepitiliza hawezi kusikiliza wengine ana hulka za uasi.hawezi kuchagua cha kufanya au kusema ni mtu wa kuongea kile kinachokuja kichwani bila kujua kama anachochea ubaguzi au umwagaji damu.Pamoja na kuwa intelligent lakini visasi vinamuharibia.nilishamuuliza hapa na wengine tunaomfahamu kama akina Sizinga tulimuuliza ni lini alishawahi kukaa na john heche na kujadili mwenendo wa bavicha/ni swali la mtego na hakujibu kwa kuwa tunajua alivyo na kisirani.na taarifa za uhakika ni kwamba alishaapa kutokaa kwenye kikao ambacho heche ni mwenyekiti kwa kuwa anaamini alibebwa na akina mbowe.anamini heche ni kibaraka wa mbowe huko chadema.

  chadema wanatakiwa kufukuza hili kundi pamoa na akina zitto kama wanataka kuepusha mpasuko ndani ya chama
  .Hili kundi litamdhalilisha mbowe kama atagombea mwakani kabla ya kutimua hili kundi.afanye kama zuma alivyomtimua malema tu
   
 16. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  JF Modelators tena kamwe naomba msiingie kwenye mpango wa vijana hao,manake kwa maelezao ya mleta thread naanza kupata picha kumbe ndio maana kuna thread za baadhi ya vijana hao upotea kimtindo sana humu ndani ya JF hasa zile ambazo zinakuwa na critical analytical dialogue.Nimeshashangaa kupotea ni kama baadhi ambao wanapoanza kuhoji dhamira upigwa ban au ndio hivyo wakiona ukidhi vigezo vya kupigwa ban ndio wanafanya kuipoteza thread.Mambo hayo yameanza kuwa ni sehemu ya malalamiko ya watu humu ndani ya JF.

  Sasa naanza kuona mwanga fulani,manake lisemwalo lipo kama halipo laja,hizi mission nyingine jamani ujana kweli ukikosa grease za wazee mnaweza kuongozwa na fikra chafu na mbaya sana.Hasa wanaume,kwa kuwa Mungu katuumba na tabia moja ya kuwa dominant= pre eminent [Someone or something that is dominant is more powerful, successful, influential, or noticeable than other people or things.].Hivyo ukikosa busara na malezi sahihi ya watu wazima mnaweza kuwa monster [If you describe someone as a monster, you mean that they are cruel, frightening, or evil.] kwa kuwa litafanyika lolote lile kutimiza azima ya utashi usio na mlinzi wa kupumzisha mihemuko ya kiume isiyojua kuwa kila kitu kina mpangilio na muda.

  Japo utaibuka utetezi,lakini tunaoweza kukokotoa hesabu hii kwenye jedwali [2+2=4=2x2] zote kwetu ni majibu sahihi.Ila Vijana hao wajue TUTAFIKA NA KITAELEWAKA hii ndiyo bongo aliyotuachia Babu yetu Nyerere [Mwalimu]

  Liberia na Siera Lion ilipata wakina John Kichaa kwa sababu hizi hizi,
   
 17. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Dah Nuclear mwanangu umepoteza focus ya unachotaka tujadili hapa, inaonekana ulimlenga zaidi Ben.

  Umejikita zaidi kwenye kueleza jinsi unavyomuelewa, sasa vp hao wengine?
  Ungechukua mda uratibu vizuri hoja yako uonyeshe ni namna gani kuwaelewa kwako hawa watu kutaleta shida kwa taifa na vyama vyao, kitu ambacho mpaka hapa umemchimba Ben tu.

  Afu mkuu una-sound as if its personal?
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280

  Mods wana upendeleo sana.kuna kipindi niliweka picha zake huku kwa bahati tulikuwa nazo bado na sitazifuta hadi atakapibuka kwenye uchaguzi nimwanike na vimada wake akiwa chuo.niliweka zikafutwa nikala ban miezi 3

  Angalia huyu mtu alivyo na chuki na wazungu na mbaguzi.hapa walijibizana na waberoya angalia alivyomjibu waberoya hapo chini kwenye red na kuendelea.


  [​IMG] By Waberoya [​IMG]
  Mkuu nimekupatanimekuelewa

  1. Nataka Slaa awe kama Morgan anayeonekanamachoni pa watu! na siyo Morgan aliyejificha, definitely I would not haveadvised Slaa to be like the Morgan Traitor.....

  2. Umenichekesha kuona kuwa unawachukia wazungu kiasi hicho.....ila kwademokrasia wako mbali sanaingawa walitutawala na wanaendelea kututawala. Ila in real sense SITAKUJAKUWALAUMU wazungu kuja kututawala!!! maana hata sisi tungekuwa wazungutungewatawala wao, IT IS NATURAL. Ni kama swala anagoma asiliwe na simba wakati yumo mbugani This wasunavoidable....zile effects za UKOLONI WA KUZIONDOA NI SISI WENYEWE....kamaenzi hizo machifu waliuza ardhi...na miaka 60 baadae bado tunauza ardhi kwa haohao wazungu, what does that mean??

  3. We are the one who make ourselves inferior, nchi za ASIAhazikutawaliwa?? what made them to compete with Europein almost everything? tell me...Tangu tumepata uhuru hatujajua athari za ukoloni?

  1. Nani anapaswa abadilishe mitaala ya shule?
  2. Go to judiciary system is totally british
  3. Go to our bunge session and style..is totally British
  4. Who encourages modernisation of western?? we are

  British or Americans have nothing to do with our stupidity.....they did that because of survival of fittest…..todate we can not compete with them in almosteverything, why are we blaming them??

  Does whites force you to spend time in Facebook, to watch CSI and 24 series??does whites forcing you to live and die with Premier league??

  Tell me, what is that we are doing that whites are forcing us to do?? Wait a minute..does whites force us to beg them, to ask for aids..because we can not feed ourselves!!!! Just imagine the way we are multiplying and we can not even get our needs…yet this is muzungu's faults??

  You know what Mr. Ben I can feel your anger and hatred towards these people but wont help!

  WE MISSED LEADERS who knows our background, who can actually preserve our culture and history, we missed people who can actually let AFRICAN be african, like chinese, japanese etc.

  We are the ones to be blamed we did not counter attacked the situation...we failed, we are failing and we may never recover ...AFRICANS IS NO MORE... with globalisation and science and technology AFRICA has collapsed

  we were not ready for free market or globalisation, we are not READY even now!!!

  WHAT SHOULD BE DONE IS TO CLOSE BOUNDARIES.......NEVER CONTACT WITH OTHER COUNTRIES..let dig, produce and eat what we have THAT IS THE ONLY SOLUTION APART FROM THAT WE WILL CONTINUE HATING WHITES FOR NO CAUSE...huwezi ukaona unakufa,chakula kiko africa ukae tu..kwa kuwa ukienda utaonekana m'baya
  South africans are stronger today because once their boundaries was closed due to apartheid , they survived inspite of all difficulties of being excommunicated from other worlds

  Ben......Slaa and you has to rise up...NO EXCUSE if we need to survive we need to learn from who survived....the problem is that we have not reached the industrial revolution...we have not even reached the 19th century...we are somewhere that our history will mock at us...WE ARE IN THE AGES WHERE OUR COUNTRY IS ACTUALLY A DUSTBIN...OF EVERY TECHNOLOGY AND LIFE STYLE FROM EUROPE ..oh! my God we can not blame white..Can we??


  Ben alijibu hivi hapa chini

  Sure,We can't blame whites!

  Mkuu Wabe,tupo on the same page kwa yote uliyosema but my point ilikuwa juu ya kuvunja minyororo ya utumwa.Hayo uliyoandika ndiyo ambayo tunataka sasa tuyatekeleze kwa hiyo kama Slaa atafanana na Morgan Tsavangiraia tutaendekeza ukoloni,tutakuwa tunabadilisha regime tu na kuwasaidia zaidi mabeberu.Tutakuwa tunatekelezana kuisadia foreign policy of the United States(Regime change policy)

  Siwachukii wazungu,hata shetani mwenyewe na ufedhuli wake simchukii bali matendo yao.Sasa kama nachukia matendo ya kibeberu na ofcourse wanasaidiwa na incompetent leaders kutoka nchi zetu,je sina haki ya kuwachukia vibaraka wanaotaka kutufanya tuzidi kutawaliwa kifikra?

  Vijana sasa hivi hawafanyi kazi zaidi ya ku-bow down mbele ya cultural imperialism.Ligi kuu za Ulaya ndiyo siasa kwao,ndiyo kazi ndiyo entertainment n.k. Ofcourse hili taifa linahitaji uponyaji na uponyaji huu unahitaji inspiration kutoka kwa leaders wanaojua tunahitaji nini,historia yetu ikoje na tunataka kwenda wapi.mfumo wa uongozi tangu tupate uhuru umekuwa wa kuendekeza ukoloni mambo leo kifikra,hapa ndipo ninapotaka sasa tufanye radical change(hapa nafurahi kuona hii spirit sasa imeanza kuingia damuni mwa baadhi ya viongozi ndani ya chama,signature yangu ya JF ilikuwa inasema Movement For Radical change na jana kwenye fundraising ya Arusha theme ilikuwa Movement for Change,M4C).

  Sure,we need to rise up,we need to inspire a radical departure from mental slavery.Taifa linahitaji healing lakini si kuendekeza ukibaraka.Thanks kwa ku-admit kwamba Moragan the Traitor hawezi kuwa role model au figure ya kufanyia reference kwenye transformation tunayoitamani

  Come on Wabe! Facebook is a social network.Tunakataa ubeberu lakini technology inayoletwa na mabeberu hatuwezi kuikataa pengine tukiweza kubadili fikra za watu wetu tutaweza kuitumia vizuri na kuigeuza against their ambitions.Facebook ndiyo ilitumika kuleta radical change kule Egypt na kumuondoa kibaraka wa Mabeberu dikteta Hosni Mubaraka.Facebook ilikuwa tool muhimu iliyotumika na vijana wa Tunisia na Misri kuwatia matumbo joto mabeberu kwa kujua hii revolution inaweka Camp David Accord at stake

  Kutokana na fedheha iliyowakumba wakaamua kuleta balance katika ile region kwa kutumia force Libya na sasa Syria.The U.S./NATO bombing of Libya has clarified where imperialism stands regarding that country. The transnational exploiters are determined to totally seize hold of the richest oil reserves in Africa and cut off the billions of dollars that Libya was contributing toward the development of much poorer African countries.

  Syria is also targeted by imperialism -- because of its heroic defense of Palestinian resistance over decades and its refusal to recognize the Zionist occupation. Syria's assistance to Hezbollah in their struggle to end the Israeli occupation of Lebanon and their strategic alliance with Iran cannot be forgotten

  Comrade Waberoya,sasa hivi mabeberu wanatumia nguvu na technolojia yao + unpatriotic spirit ya viongozi wetu both kwenye ruling side na opposition(prospective government/regime) kuhakikisha maslahi yao hayathiriki.Ningekuwa na uwezo wa kuja hidden agenda za viongozi hawa na tulio nao hapa Tanzania nisingeona aibu ku-champion assasination kwa Traitor hawa kama ningeshindwa kuwabadili kifikra ili waweze ku-fit katika vision kwa maslahi mapana ya watanzania na Afrika kwa ujumla.

  Wabe, mababu zetu waliokuwa wanamapinduzi wa kweli walijitoa sadaka kwa kushirikiana na intellectuals na kweli waliwashikisha adabu wakoloni wale. Comrade Osagyefo(Kwame Nkrumah) spent time in England and discovered its weak economy following World War II, then planned a political strategy with an economic offensive of boycotts, strikes, and demonstrations, "positive action," to cripple England and win independence for Ghana on 6th March 1957. Today America's economy is weak and in the spirit of Osagyefo Kwame Nkrumah, we are calling on Africans youths and true leadrs to demonstrate, strike, and boycott, and other oggresive measure according to the current situation in solidarity with resistance, to win total independence for Africa. Ni lazima tuanze na viongozi wetu both in the ruling party na hata upinzani incase kuwae na dalili za ukibaraka

  Kama tunashindwa hivi kwa kisingizio cha demokrasia ya magharibi basi tuifanyie modification otherwise Africa itashuhudia rebellion against our puppet leaders.Viongozi walioko madarakani Tanzania na Afrika na hata vyama vya upinzani washuhudie maasi,wale comrades wanaoelewa hili tutaungana mkono.Waberoya najua wewe ni mmojawapo

  Asia haikufikia hapa ilipo kwa sababu viongozi wao wao wa kwanza waliweka misingi ya kukataa ubeberu.Mahatma Gandhi na Shri.Jawahlal Nehru heroically waliongoza India kukataa ubeberu na ndiyo maana ukisoma foreign policy ya India (Diplomatic relation kati ya India vs United states ilikuwa zig zag untill 2000's). India leo huwezi kufanya investment ukamiliki stake kwenye company more than 49% kama foreigner.India wana policy,wanajitahidi ku-preseve culture yao ambayo inawa-define na inafiti katika ambition na interest zao kama Taifa.Halikadhalika China

  China,Comrade Mao Tse Tung aliindoa China kwenye janga la kuwa victim wa ubeberu.Wale traitors aliowapindua walikimbilia Taiwan (alifanya kosa kuwaacha hai Hadi leo US anaitumia Taiwan kuelekeza detterence millitary kwa china).Chairman Mao Tse tung alipoanza na the great Leap,alinyonga watu wengi (Ofcourse Traitors deserves nothing but DEATH) lakini China Imesimama na inaweza kuvunja rekodi ya Soviet kuwa super power ndani ya kipindi cha miaka 70.Ooops,nisije nikatoka nje ya mada sana sasa....!

  Kazi iliyoko mbele yetu ni tete kama tunataka kuliponyesha Taifa hili.

  Kwa kuanzia tu kama wanasiasa,kama intellectuals tunaweza kuanza na utekelezaji wa maudhui ya hapa kwenye signature yangu
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  majungu hayato kusaidia chochote kwenye maisha yako ....
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  wacha zako wewe.kwani wewe inakuhusu nini?

  Haya,Hussein bashe hadi sasa anaunda genge lake huku akitumia fedha za habari corporation kujijenga nzega huku wafanyakazi wa kampuni ambayo yeye ni mkurugenzi hawana mishahara.ni kijana mwenye uwezo wa kujenga hoja.so far anataka kuunda kundi ndani ya ccm ili kujinufaisha na uchaguzi ndani ya chama.yeye ndiye aliyekabidhiwa jukumu la kuhakikisha waasi wa ANC umoja wa vijana wanabadilishana uzoefu na kundi la akina Malisa

  Dr.Kitila Mkumbo

  Huyu alikuwa rais wa serikali ya wanafunzi UDSM. ni mjumbe wa kamati kuu chadema lakini ni bingwa wa mikakati.hili kundi litamudhalilisha mbowe uchaguzi ndani ya chama.Ana tuhuma za kuchakachua uchaguzi wa viti maalum akishirikiana na Zitto ambao wamesoma pamoja.hawa ndiyo waliotuhumiwa uchaguzi wa bavicha kuuunda aliiance na walikuwa wanakutana na akina ben saanane hill park na mliman city kupanga mbinu za kusambaratisha ngome ya mbowe kabla ya kundi la akina heche kwenda kuomba msaada kwa akina mbowe na wazee.na kweli nashukuru Mungu wazee walichukua tahadhari na genge hili sijui kama tanzania ingekalika kama hili genge lingeongoza bavicha.wazee walitumia busara kuwanusuru akina heche ambao walikuwa wanaelekea kudhalilishwa pamoja na kuwa na historia ndefu na chadema.

  hapa kulikuwa na kila dalili akina ben saanane,kitila na zitto kuendesha baraza la vijana watakavyo na pengine kusababisha machafuko. Pamoja na kwamba ben anajua kujenga hoja tujiulize nguvu kubwa aliyokuja nayo na kupata attention ya media kupita wengine kwenye uchaguzi ule ilitoka wapi?mbona kwenye cv yake hakuweka diploma aliyosoma ya forensic science?alihofia nini?

  Zitto Kabwe na akina Kafulila na mtatiro so far wanajulikana walivyo ambitious,waroho wa madaraka na misimamo yao.Tulinusuru taifa hili.Uasi wa kundi hili la vijana dhidi ya wazee ndani ya vyama vyao ni hatari kwa mustakabali wa nchi na huko baadae

  binafsi sielewi mtazamo wao dhidi ya slaa,au lowassa lakini najua hili kundi la chadema lina vita kali na mbowe na vijana wake ambao wameshindwa kumtetea mwenyekiti wao.Vijana wa chadema na CCM msikubali kuingizwa katika uasi wa kundi hili

   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...