Chadema yapata wakati mgumu arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yapata wakati mgumu arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Apolinary, Mar 30, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Chama cha demokrasia na maendeleo kimezidi kupata wakati mgumu katika harakati zake za kuchukua jimbo la arumeru mashariki ugumu huo umejitokeza baada ya madiwani wote wanaokiwakilisha chama cha mapinduzi kufanya kampeni kila kata ambapo inasemekana kila siku kuanzia jana alhamisi zaidi ya mikutano 45 hufanyika jimbo la arumeru lenye kata 17 zikiwa mikononi mwa chama cha mapinduzi halijawahi kuongozwa na (mb) kutoka chama chochote kutoka upinzani tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 hata hivyo wachambuzi wa mambo ya siasa wanasema chama cha demokrasia na maendeleo chadema chaweza kupewa dhamana na wananchi kutokana na hali ngumu ya maisha jimboni humo!
   
 2. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Thread yako aina tofauti na porojo anazopiga lusinde na mwigulu kwenye majukwa!unaojaribu kuwadanganya kwa bahati mbaya siyo wapiga kura wakiongozwa na sioi.
   
 3. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chama chenye wakati mgumu hapo ni CDM au CCM? Kwanini CCM watumie msuli namna hii kwenye kampeni ya mwezi mmoja je walikuwa wapi zaidi ya miaka 50? Mie nijuavyo ukiwa madarakani huo muda ukiutumia vizuri ni sawa na kampeni tosha ya uchaguzi unaofuata.
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na wao ndiyo wenye serikali,miradi na jimbo......kivuli chao wenyewe kinawatoa jasho.
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 6. MADAXWEYNE

  MADAXWEYNE JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 180
  Hili jimbo limewahi kuongozwa na mbunge wa nccr mageuzi,anaitwa Samwel Mbaruku Kisanga. Kwa hiyo unaposema hili jimbo halijawahi kuongozwa na upinzani,utakua umekosea.
   
 7. n

  nicksemu Senior Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mbona unaji-contradict mwenyewe, mara chadema wana wakati mgumu , mara chadema chaweza kupewa dhamana , sas tukuelewe vipi, au ndio mumechanganyikiwa
   
Loading...