M/kiti wa CCM atua A town rasmi!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,M/kiti wa ccm Taifa ametinga hapa Arusha mjini usiku huu wa giza kutanda!

Ametua uwanja ndogo wa ndege pale Kisongo na hata kusababisha jam kubwa isiyokuwa na ulazima.

Kwa kweli sijui anaenda kuweka malazi wapi muda huu,ila nafikiri ni jimbo la Arumeru Mashariki ndio imemfanya aje,nahisi hayuko kikazi zaidi!

Usiulize mambo ya source! Kwani nimeshudia msafara wake wenye ghasia hapa mjini.

Nawasilisha!!

UPDATES
========
Habari niliyonayo muda huu ni kwamba yule rais mstaafu wa awamu ya tatu ndani ya chama ya mafisadi Ndg William Benjamin Mkapa kesho saa moja oo nusu asubuhi atatua ndani ya A town kuongeza nguvu katika kampeni inayoiishia ukingoni na M/kiti wake wa sasa aliyekwisha tua jioni hii ya giza kutanda.

Hakika nawaambia washikaji wanapumlia ICU nyakati hii.
Mengi tutapata zaidi majaliwa ila hakika CDM WANA MUNGU SISIEM WANA PESA,na hebu tuone kama haki ilishawahi kushindwa!
 
Nielekeze hotel anapolala 2mfunike asidhurike.Maana tukio la jana la kurejesha ardhi ya wananchi wa tanganyika perkas moshono dhidi ya jwtz walioshinikiza kwa maandamano anapelekea kupaogopa arusha.
 
Nguvu ya umma itakayojaa pale kwenye ukimbi wa halmashauri ni Okampo peke yake anayeweza kuishawishi iondoke. Ukiona hivyo ujue imewabana sana hawa jamaa, kuvua wanataka, kuendelea kuvaa wanataka. Chezea CDM veve...
 
Historia inajirudia. Kampeni za uchaguzi 2010 alienda Rombo, Monduli, Igunda na kote huko alisifia wagombea. Miezi michache baadae akawageuka. Sasa anataka tena kula matapishi yake?
 
Nguvu ya umma itakayojaa pale kwenye ukimbi wa halmashauri ni Okampo peke yake anayeweza kuishawishi iondoke. Ukiona hivyo ujue imewabana sana hawa jamaa, kuvua wanataka, kuendelea kuvaa wanataka. Chezea CDM veve...

kwani ccm hawana haki ya kushinda? Au uchaguzi ni wa cdm peke yao? Mbona mnataka kulaza akili za watu na kuwapumbaza au nyie ndo mnataka okampo adili na nyinyi? Wenye haki ya kuhesabu kura ni mawakala na mwenye haki ya kutangaza ni tume ya uchaguzi na wenye haki ya kujuwa matokeo ni wananchi wote wa vyama vyote sasa mnapojiona kuwa nyie cdm ndo mna haki peke yenu siyo haki. Au mnataka kupora kura kwa kisingizio cha nguvu ya umma? Pelekeni u... Wenu huko.
 
amekuja kufungua hoteli ya mwanae inaitwa palace hotel....mwana ccm hawezi ogopa kwenda kokote nchini.ccm oyyeeee!
 
Anakwenda loliondo kuwasha umeme wa jenereta ambao umeme huo unazalishwa kwa hasara kutokana na watumiaji wachache.
 
Nielekeze hotel anapolala 2mfunike asidhurike.Maana tukio la jana la kurejesha ardhi ya wananchi wa tanganyika perkas moshono dhidi ya jwtz walioshinikiza kwa maandamano anapelekea kupaogopa arusha.

Mmemuelewa ujumbe wa huyu Dallai Lama? mimi sijamuelewa kabisa, sina uhakika kama ni Mtanzania kwa uandishi huu wa Kiswahili.
 
Unakimbizwa na mwenyekiti wako wa chama!!
Bila vilainishi!
 
jamani nasikia msafara wake umepigwa mawe maeneo ya mianzini kulikoni tena hiyo inaonyesha ni jinsi gani akuwa raisi kwa matakwa ya wananchi nampa pole jk ana kazi ngumu sana
 
Back
Top Bottom