Mkapa Kutinga Arumeru tena

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF yule mahiri wa siasa za kufungua na Kufunga Mikutano ya Kampeni a k a Mjuzi wa ukoo,BWM al maaruf dalali wa nchi Kesho atatinga Arumeru kumaliza kazi.
Habari toka kwa viongozi waandamizi wa CCM zinasema kwanza watafanya vikao vya ndani ambapo ataonana na mawakala pia wasimamizi wa Uchaguzi,makatibu wote wa CCM viongozi wa vyombo vya ulinzi na Usalama kupata dondoo na Kisha atahutubia kama Mgeni Rasmi katika kufunga Kampeni za CCM nikiripoti kutoka kikatiti Arumeru ni mimi Mgeni wenu wa JF
 
leo atatoa kioja gani?
nahisi atasema tz hatuna rais.
 
Mkapa anaweza kuizamisha CCM na kuitia doa la milele serikali ya ccm. Huyu mkubwa haoni shida kuzamisha watu - ref mauaji Zanzibar.
 
Kwa muda huu yupo ndani ya A town katua hapo KIA majira ya moja oo nusu na kapokelewa na gari ya police ya hapa Central police hapa A town
 
Asikuumize kichwa sababu kila anachosema alisema anatania. Don't take jokes serious
 
Duuh Watalundamana wote huko nasikia pia Mwenyekiti wa CCM Mh.Jakaya Kikwete yuko huko ,lakini mbona Temeke kila mtu alikuwepo enzi zile na Mrema akachukua jimbo
 
Duuh Watalundamana wote huko nasikia pia Mwenyekiti wa CCM Mh.Jakaya Kikwete yuko huko ,lakini mbona Temeke kila mtu alikuwepo enzi zile na Mrema akachukua jimbo
Hapana Mkuu!
JK alikuja kwaajili ya kufungua Mkutano wa TAKUKURU basi, baada ya jukumu hilo karudi zake Dar!...
Watu wake wa karibu weshamwambia kuwa Arumeru hapafai!
 
Kaacha Maagizo kama noma na iwe noma kawaambia TOT waondoke kesho maana Meru Noumer
 
Back
Top Bottom