Mwendelelezo wa kupotea watu Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwendelelezo wa kupotea watu Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by vngenge, Mar 30, 2012.

 1. v

  vngenge JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mtu mwingine ametoweka huko Arumeru mashariki ambae ni kada wa chadema, siku ya sita leo hajulikani alipo. Source 92.9 magic Tar 30.03.2012, fm saa 07: 45 Wtangazaji Meshack Nzoa na Orest Kawau
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hawatatuua wote kabla ya mwisho wao kufika...
   
 3. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,107
  Likes Received: 1,719
  Trophy Points: 280
  hizo ni mbinu tu za kutisha wananchi! lkn wajue hawawezi kutumaliza! tena ndo tunazidi kuwa makini! cku zao zinahesabika!
   
 4. L

  Loomu Senior Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kwa hasira ndio tunawamaliza kabisa, wanawaua ndugu zetu ili waende bungeni, halafu wakamwakilishe nani?
  Hawa hawafai kabisa na jumapili tutawaonyesha kwamba hawafai
   
Loading...