Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF, Nimesikia kutoka kwa watu tofauti wakisema kuna masanduku yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa tayari. Yeyote mwenye taarifa jamani naomba mtujuze kama ni kweli au la. Nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Na Muhibu Said Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM), Mohamedraza Raza, amesema msimamo aliona kwa miaka 20 iliyopita wa kutaka wananchi wa Tanganyika na Zanzibari, waheshimiane, kuvumiliana na...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
katika hekaheka za kampeni huko arumeru,lowassa amejukuta akitoa ahadi ya kujengea makaburi ya wachezaji huko sakila. Kwa wale wakazi wa meru watakumbuka kuwa kuna ajali mbaya ya trekta lenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
John Ayo alikuwa kada mtiifu wa CCM kwa muda mrefu saaana na diwani, lakini Sasa ameukubali ukweli na kusimamisha Bendera ya CHADEMA nyumbani kwake, na Kadi ya CHADEMA mfukoni. Pia ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumewasikia wakitapatapa, hawajui wakati ukuta, wamebanwa mbavu, wanahemea tumboni, wanajaribu kujenga mustakabali ya tz ya 1967, hawajui nini wamekosea, wamo ndani ya chumba cha giza hawajui...
1 Reactions
90 Replies
8K Views
AZINGIRWA NA WAFUASI WA CHADEMA KWA TUHUMA ZA RUSHWA ,POLISI WAMWOKOA Waandishi Wetu, Arumeru NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodlucky Ole Medeye juzi usiku aliingia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Brother umeidharaulisha siasa,unapelekea ionekane kuwa sasa politiki ni uongo kabisa japo huwa hakuna uhakika kuwa ni uwongo. NAPE umemtusi sana Fisadi EL ati leo unakuja kukaa nae jukwaa moja...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeikuta hii kwenye blog ya taifa letu. Jamaa amezindua namba ya bure kwa wapiga kura wake Engaging Bumbuli Constituents.... So, when I ran for MP I decided that I should engage my...
11 Reactions
84 Replies
8K Views
Zimebaki siku chache tujue elimu ya ufikiri kama ipo kwa wananchi wa Arumeru mashariki, naamini kipimo kidogo cha ufahamu wao watakionyesha tarehe moja, kama ilivyo siku yenyewe 'siku ya wajinga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hasubuhi ya leo nilisikiliza kipindi cha mahojiano na Redio One TBC kuhusu uchaguzi Arumeru!!! Nikamsikia msimamizi wa uchaguzi wa tume akisema kwamba baada ya kupiga kura vituoni KURA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kesi inavyoendelea Cosmas Kasangani: Katibu wa CCM Wilaya ya Urambo Wakili wa watoa maombi, Bwana. Wasonga.Mimi ni wakili nitakuongoza kukuuliza maswali na wewe utamjibu jaji: Naitwa Cosmas...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Akionekana kuelemewa na matatizo yanayolikabili jimbo la arumeru mashariki mgombea wa CCM Bw. Sioi ili kupata kura za vijana amehamua kuchukua porojo za waziri usingizi kuwa Mradi wa TASAF ambao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
leo cdm watakuja mbuguni kwa kampeni,nawaomba waandishi mje kwa wingi kuna 2kio kubwa litatokea ambalo ndio kifo cha magamba arumeru.ukizingatia jana ole medee alitimuliwa chupuchupu thanx kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika kujaribu kubadili upepo wa wapiga kura katika lalasalama ccm wamepanga kufanya mikutano ipatayo 50 kwa siku huku mgombea akishiriki katika mikutano 8 kati ya hamsini. Je Uwepo pia wa hili...
0 Reactions
4 Replies
773 Views
Wachumi kutoka nchi za china na vietnam wanashangaa umaskini wa tz na kwenda mbali zaidi na kusema viongozi wetu wanamaneno mengi kwelli kuliko uhalisia wa kiuchumi hilo limemfanya hadi waziri...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
"Kwakuwa kule bungeni kuna kula, tumpe kura Zitto Kabwe, ili na yeye akale kama alivyokula mwenzake wa CCM". Nimeanza na nukuu hiyo ambayo ilitumika sana mwaka 2005 kuhamasisha wazee ili wamchague...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Hivi sasa mabomu yanalipuliwa eneo la Kolila karibu na KIA kisa ni uchaguzi wa Jumapili wa Arumeru-Mashariki. Sababu ni kwamba mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka anashikiliwa na...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Salaam wana JF! Naomba kusaidiwa kama ni jambo la msingi kwa chama kinachounda serikali kinamnadi mgombea wake kwa kutumia ahadi mpya kabisa kabisa badala ya kutumia ahadi ambazo...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Wakuu, hebu angalieni nukuu hii ya 1958 ya Mwl Nyerere na tuchangie mada juu ya mustakabali wa nchi yetu na Ardhi yetu, mawazo yetu hapa jamvini yanaweza yakainusuru Nchi hii:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKATI NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akiamini kwamba kuna tume imeundwa kuchunguza chanzo cha ugonjwa wake, imebainika kuwa hakuna tume kama hiyo, Tanzania Daima Jumatano...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom