CCM wanapata vipi member wapya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wanapata vipi member wapya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Mar 30, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  naomba kujua njia wanazotumia ccm kupata wanachama wapya,najua chadema wanafanya mikutano ya hadhara na kutangaza sera zao,je ccm wao wanatumia njia zipi??
   
 2. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wao wanasema wanamikono mingi kama pweza, kwamba ukiangalia miguu ya mbele, wao wanatumia ya nyuma, ukikimbilia nyuma wanatumia ya mbele au ya pembeni.

  Nazani wanapata kwa njia za giza.
   
 3. kiagata

  kiagata Senior Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Njia za kufikia wananchi kwasasa ni nyingi sana.
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani JF wanapata vipi member wao?
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata Mi binafsi hili la ccm kupata member hapa Nchi inanitatiza sana!

  Ila hakika wanapumulia ICU hawa mafisadi!
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanatumia sahani za pilau na nyama za wanyama pori, kuwateka watz wenye njaa iliyopitilza, kuwapatia kadi zao, kama sharti la huo msosi
   
 7. p

  politiki JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wakati wa kura za maoni mwaka 2010 wagombea ndaniya CCM walikuwa wananunua burungutu la kadi
  na kuzigawa mitaani kama mishikaki ili wapate wapiga kura wa kuwapigia lakini wananchama hao wa papo
  kwa papo ndio wamekuwa wakilalamikiwa kuwa ndiochanzo kikubwa cha rushwa ndani ya CCM kwani wahusika
  walifuata pesa zaidi kuliko kuwa wanachama.
   
 8. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hakuna Wanachama wapya wanaojiunga na CCM katika miaka hii ya karibuni na hawatatokea.

  Katika mikutano anapokuwepo Raisi wanajifanya kuwa amepokea wanachama wapya kadhaa, lakini ni propaganda tu ile hakuna mtu mwenye akili timamu atakayejiunga na CCm, miaka hii.

  Na ndio maana ukiangalia hata katika mashabiki wao wengi ni Wazee ambao hawana upeo yaani wameridhika na Maisha waliyonayo.

  Wote wenye upeo wa kuona mbele wanachukua kadi mpya na kujiunga na vyama vya Upinzani tu.


  ENDAPO IKIFIKA MWAKA 2015 CCM INA BAHATI; LAKINI HIVI KARIBUNITUNAIZIKA; INAKUFA MIKONONI MWA KIKWETE.........


  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 9. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  \
  1. Kuwahonga Watanzania nyama za porini (sherehe za CCM Kirumba MZA)
  2. Kuhonga chakula cha msaada kwa watu wenye njaa (Igunga. Arumeru Mashariki)
  3. Kugawa T-shirt, kanga na kofia
  4. Kila anayepeleta kadi ya CDM na kuchukua ya CCM kuhongwa 50,000/-
  5. Wapiga debe wakuu kama akina Nape kuzawadiwa vyeo vya Dcs, RCs
  6. Ulgahi na uchochezi wa kidini na kikanda
   
 10. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  \
  1. Kuwahonga Watanzania nyama za porini (sherehe za CCM Kirumba MZA)
  2. Kuhonga chakula cha msaada kwa watu wenye njaa (Igunga. Arumeru Mashariki)
  3. Kugawa T-shirt, kanga na kofia
  4. Kila anayepeleta kadi ya CDM na kuchukua ya CCM kuhongwa 50,000/-
  5. Wapiga debe wakuu kama akina Nape kuzawadiwa vyeo vya Dcs, RCs
  6. Ulagahi na uchochezi wa kidini na kikanda
   
 11. s

  sawabho JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Mabalozi wa nyumba kumi (wajumbe) wana kazi gani ? Kumbuka kuwa katika baadhi ya maeneo wana nguvu hata kesi wanasuluhisha na kuamua, yaani chama kilichokaa madarakani katika miaka 50 ( TANU+ASP = CCM, 1977) kife kifo cha gafla hivyo ?
   
Loading...