Kichapo hiki kwa CDM Arumeru ni kikubwa sana , wahurumieni ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kichapo hiki kwa CDM Arumeru ni kikubwa sana , wahurumieni !

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by GeniusBrain, Mar 30, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakati uchaguzi wa Arumeru Mashariki ukikaribia , hali kwa baaadhi ya vyama vya upinzani ni tete na haitii matumaini kabisa kwa wao kushinda. Hali hiyo ni mbaya zaidi kwa CDM kwani waliyokuwa wakiyategemea sivyo yalivyo.

  1. CDM walitegemea wapiga kura wengi ni vijana. Ila imedhihirika kuwa vijana wengi hawakujiandikisha na hawana sifa yakupiga kura. Kwa maana hiyo basi waamuzi wa Mbunge ajae yako kwa wazee na wanawake. Ambapo makundi haya CDM wameyasahau na kujihusisha na vijana tu
  2. CDM walitegemea utumiaji wa fomu no. 17 uwe ni ukombozi wao. Ila tume ya taifa ya uchaguzi imeisha tangaza kuwa fomu hiyo haijawahi kutumika katika uchaguzi wowote nchini, na kwenye uchaguzi huu wa Arumeru haitatumika. Hii yaonyesha ule mpango wao wakuruhusu hata wasio na shahada za kupiga kura wapige kura umekufa. Na hili ni pigo kubwa sana kwao
  3. CDM ilifanya harambee ya SADAKA pale Naura, na walikusanya pesa nyingi tu. Ila mpaka sasa pesa hizo hazija saidia sana chama. Kwani kwa tathmini CCM wao walikuwa wanafanya mikutano takribani 30 kwa siku, CDM wao walikuwa 18 kwa siku. Na CCM hivi sasa watafanya mikutano 50 kwa siku, CDM wao 23 kwa siku. Hii yaonyesha , uwezo mdogo wa CDM kufanya mikutano. Sasa tatizo mwanzo tuliambiwa ni pesa, sasa pesa zipo na mikutano haifanyiki kwa wingi
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kapokee 2000 yako ya kutwa
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  woiiii propagamba tu hizo waamuzi wa mbunge ni wanaarumeru na si jf gamba wewe
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  This is a liquid material, yellowish in color, flowing from the WC's, via the chambers, down the septic tank for disposal!
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CDM sijui nani aliye waroga na karibia wote (viongozi+wanachama+wapenzi) badala yakujibu hoja unaikwepa hoja. Sasa hapo ndipo umejibu nn ? tukisema hata darasa la 7 hukufika km Lema tutakuwa tumekosea?
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Ha ha ha haaaaaaaa ukweli unauma lazima uandike hivyo wala sikushangai ila wenye chama chao wameisha jua nilichosema ni uwazi na ukweli.
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  WINGI WA MIKUTANO SIYO SABABU YA KUSHINDA. KAMWULIZE SILINDE atakuambia
   
 8. R

  Renegade JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  HONGERA SANA, NAONA HAYA NI MAANDALIZI YA KUIBA KULA. nA NDIO LUGHA ZENU HIZI, ETI HAWAKUJIANDIKISHA, Pumbaf kabisa.
   
 9. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watu wanapost upepo huku!
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  we umefika la ngapi? Maana upo kama walewale tu
   
 11. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nakumbuka mwaka 2010 wakati wa uchaguzi jimbo la musoma walisema hivihivi lkn mbinu zao tumeshazijua ...hii ni janja ili waibe kura ..magamba muda wenu umekwisha ....punguzeni propaganda ...wameru ndio wenye maamuzi...
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hao wazee na wanawake tarehe moja watawapa urithi watoto wao kwa kudumbukiza CHADEMA.
   
 13. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Vp 20,000 na kofia yako umesha chukua?
   
 14. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  we ni MAGAMBA tu hata mfanye mikutano 5000 kwa siku! CHAMA CHA MAGAMBA.
   
 15. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kawaulize wameru wakujibu na siyo ulete propaganda hapa.
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Thread yako aiongezi kura wala kupunguza!tupa kule
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  brown envelope @ work
   
 18. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,123
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Siyo kila jambo ni la kupuuza..! Kuna POINT hapa. Inabidi makamanda wote wahamasishe vijana wote waliojiandikisha waende kupiga kura. Ikumbukwe Mtaji wa CCM ni wazee na Wanawake wanaoogopa mabadiliko pamoja na ujinga wa baadhi ya Watanzania.
   
 19. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama fomu No.17 haitumiki iliwekwa ya nini,CCM mnaogopa vijana kumbuka watajiandikisha na kumaliza kazi 2015 huna unachokijua nilitegemea CDM wameshindwa kwa hoja kumbe wameshindwa kwa kuwanyima fursa wana Arumeru vijana kuchagua mbunge wao.
  Kwa hili unataka watu wajibu hoja gani? weka fair ground kwa watu wote wapige kura uone chagua lao ni lipi?
   
 20. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Inashangaza mtu unapotembea kifua mbele kuisapoti CCM. Chama ambacho kimeshaua Watanzania wengi kupitia polisi, wawekezaji nk. Wameua pia sekta ya elimu na afya, hawajali migomo baridi ya walimu na madaktari kwa kuwa wao wanasoma nje, wanatibiwa nje. Uchumi umeanguka kwa namna ambayo haijawahi kutokea wakati ambapo rasilimali zinanuafaisha wageni. Na bado kuna watu wanatumika kama daraja, kufanikisha mambo ya hao wanaopora nchi yetu !!!
   
Loading...