Vituo 55 Hewa Vya Kupigia Kura Arumeru Mashariki Vyafungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituo 55 Hewa Vya Kupigia Kura Arumeru Mashariki Vyafungwa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Ndallo, Mar 30, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hatimaye vile vituo 55 na zaidi vilivyokua vimepandikizwa na CCM na baada ya hapo CHADEMA kuvishtukia hatimaye vimefungwa! Hii ni baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo kutumia makamanda wao kuutokomeza mchezo mchafu! Nitaendelea kuwaabarisha wapenda Demokrasia ya ukweli.

  SOUCE: Kitatiti - Arumeru Mashariki!
   
 2. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Ahsante kwa taarifa kamanda futilia zaidi na wale mamluki wa kuletwa toka Musoma wana mkakati gani??????????

   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,178
  Likes Received: 10,517
  Trophy Points: 280
  tupe mambo mkuuu... ushindi ni lazima Arumeru mashariki. pipozzzzz powerrrrrr
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hao kazi yao ni kuteka na kuua mlipaji wao Wassira
   
 5. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  endelea kutupa update mkuu
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wanahitaji kikosi maalum kutoka unga ltd.
   
 7. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  asante sana
   
 8. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu umenichekesha sana,eti mlipaji wao ni Wassira,kwa nini awe yeye?
   
Loading...