Ndallo
Joined
Likes
1,402

Profile posts Latest activity Postings About

 • Chimama
  Ndallo, umenichekesha sana mchana wa leo kwenye Thread ya SIKU YA MAJONZI.......sijaamini comment yako kuhusu kichwa cha cherehani...that was funny. Thank you for giving me something to laugh about. We truly need humor in this life.
  Ndallo
  Hello Jamii Forum Members!
  Nimatumaini yangu kwamba wote hapa niwazima, mimi ni mgeni hapa lakini nashukuru kwa mimi kuwepo hapa na ningependa kushirikiana na Mamembers wenzangu kwa kutoa mawazo yangu na michango kwa ajili ya kuielimisha jamii kwa mijadala yoyote ya kuelimisha jamii. Asanteni sana kama tutashirikiana kwa kipindi hiki tunachoelekea kwenye uchaguzi mkuu Tanzania tuombe Mungu tupate kiongozi mpenda haki na sio mtoa ahadi sisizotimilika. GodBless Tanzania!:tonguez:
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…