Mammluki wasita kujitosa arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mammluki wasita kujitosa arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mwanajamii, Mar 30, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mipango ya viongozi wa CHADEMA kutumia mamluki kwa kisingizio cha kulinda kura zisiibiwe kwenye uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki imeanza kuingia dosari kinuyme na matarajio yao.
  Kwenye vituo vya maandalizi ya kulinda masanduku ya kura, kundi la makomandoo walioletwa kwa ajili hiyo lilichachamaa dhidi ya maagizo ya kuwataka walinde kura hizo bila kujali malalamiko yao ya uchaguzi wa Igunga, Mkoani Tabora.

  Source: Gazeti la Hoja la leo machi 30, 2012
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Magazeti yanayoandikiwa kwenye sitting room za familia haya...lol!
  Ondoa balaa lako hapa bana!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hata wangeletwa makomando wa Kiisrael!

  Tulichoapa ni kwmb labda wakimbie na mbox ya kura na ndiyo itakuwa ushindi wao!
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hilo gazeti limeanza lini au ni pacha wa sauti huru?
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Hilo ni gazeti au kipepelushi?
   
 6. E

  ESAM JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli ni la zamani ila naweza kusema bila kuuma maneno ni sawa ta TAKATAKA
   
 7. L

  Loomu Senior Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, mmeanza kutapatapa kable hata hamjakatwa shingo.

  Nyinyi ni magamba tu
   
Loading...