CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshikachuma, Mar 27, 2012.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nappe amesema CCM haitakuja kufa na itaongoza milele.

  Ameitoa kauli hiyo kufuatia kauli zilizotamkwa na wazee 3 ambao ni Butiku, Kitine na mzee Kaduma waliosema kuwa CCM inakaribia kufa bin kutokomea.

  Source: ITV taarifa ya habari saa mbili jioni ya leo
   
 2. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Milele manaake hakuna mwanzo wala mwisho, yaani CCM ni Mungu wake! Uarabuni angepigwa mawe mpaka afe, kufuru kubwa saana hiyo!
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hayo maneno 2 hata kwnye khanga yapo!
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nape Arumeru vipi? Au wewe huhusiki?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nape hana jipya ni mchumia tumbo huyo.
   
 6. P

  PJS Senior Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape ni vuvuzela na ni kibaraka mkubwa wa Lowassa.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nape ni kama Nesi. Nesi hawezi kumkatisha tamaa mgonjwa hata kama akijua hatapona. Sana sana atamtia moyo mgonjwa kwa kumwambia usijali utapona. Nape anajua ccm iko hoi ICU.
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa kitengo chake hata simshangai kabisa, maana sikutegemea aseme CCM inakufa.
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wazee huwa hawajibiwi na mjukuu namna hiyo. Inaweza ikaleta laana kuu.
   
 10. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Hata Moi alisema KANU itatawala miaka 100 Kenya, kilichotokea Kenya Nape anakijua.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hiv si ndio wazee wa dar hao?
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Sample ya vijana kama Nape na Zitto ndio wanaotuaibisha ktk jamii sisi vijana wenzao, kwani wana akili kama kuku.
  NI VIJANA MBUMBUMBU.
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hata KANU walisema hivyo hivyo. Inaonyesha tuu jinsi wanasiasa wanavyowachulia wananchi for granted.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  tungejua definition yake ya 'milele' tungeweza changia.
   
 15. y

  yaya JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  OOH, again only in Tanzania.
  Aulizwe, TAA, TANU na ASP viko wapi?
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ndio kazi yake jamani, tutegemee nini kingine, akisema vinginevyo ataulizwa, unafanya kwenye chama kinachokufa?
   
 17. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Yupo sawa hasa ukizingatia kwamba yeye ni katibu muenezi wa magamba!
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Na wewe unachumia nini?
   
 19. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  nape anaijua mana ya milele?Atambue kuwa dunia na vitu vyote vinapita kwa maana hiyo ccm ina mwisho wake na umilele wameahidiwa wanadamu ambao wameiona nuru ya ulimwengu huu kwa kuamini Kristo na kuishi maisha ya kupendeza na siyo ya ufisadi na uuaji kama ilivyo ccm
   
 20. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hahaha, kwahiyo inabidi aseme kitachowafurahisha mabosi zake sio?!! hahaha
   
Loading...