WanaJF, Kitendo cha mheshimiwa mama Makinda kumjibu waziri Mkulo kuwa mh. waziri hayo siyo majibu huku akiwa na uso unaonesha kuwa amekasirishwa na majib fake kimepokelewa tofauti na watu...
Habari imeeleza kuwa yeyote atakaye tangaza kugombea ubunge jimbo la shinyanga mjini hatari ipo mbele yake, hii inatokana na mmliki wa Jimbo hilo Mh steiven Masele kujipanga kuhakikisha ana...
Naibu Waziri Fedha akijibu swali Bungeni leo,alisifia mafanikio ya Ubinafsishaji.Mh. Zito akauliza swali la nyongeza na kusema anasikitishwa na Serikali kusifia mafanikio ya ubinafsishaji na kutoa...
KESI YA TUNDU LISSU CCM WAZIDI KUJICHANGANYA.
SHAHIDI:23.
SHAHIDI Stephen Jude, 37, Anaishi Dar, Tabata.
Mtaalamu wa ICT, and information and communication technology. Elimu yake ni ICT-Higher...
Tangu nimeanza kuijua na kuifuatilia siasa ya Tanzania na tangu nimemjua japo kidogo JAKAYA KIKWETE,haya ni baadhi ya maswali ambayo ningependa ayajibu kiukweli na kiuhalisia wala sio kisiasa...
Kama sijakosea mashahidi upande wa utetezi walikuwa 4 na upande wa walalamikaji 13. Sipati picha kama hao 13 wanasema Lema alisema maneno ya matusi na kudhalilisha wakati hao 4 wanasema hakufanya...
Katika katiba ijayo wananchi wapewe haki ya kumiliki ardhi na kuitumia kama mtaji wa kujipatia hisa katika uwekezaji pale wawekezaji wanapotaka kuitumia ardhi hiyo. Hii itawawezesha wananchi kuwa...
Joshua Nasari hayupo bungeni leo kuapishwa....
Hapana mkuu, ataapishwa kesho kutwa.
Kulikuwa na kutoelewana baina ya viongozi wa Chadema waliopo hapa Dodoma na Uongozi wa bunge. Chadema...
kutoa salam za rambi rambi kwa msanii maarufu kanumba sio nongwa lakini swali kama hizo rambi rambi tangu anze kutoa wakati wa utawala wake, je hakijafika kiwango cha kuwalipa wastaafu wa jumuiya...
Nashukuru kumwona huyu Mh. Akiwa na sia iliyo nzuri kabisa akiwakilisha wizara yake. Amenyoa upara na kwa kweli Mungu ni Mwema na anaweza. Amewashukuru watanzania wote wa dini zote kwa maombi yenu...
Akifungua tawi la mashine tatu iringa mjini mara baada ya kuwasili.
Katika mapokezi haya ambayo wakazi wa iringa wali yaandaa, mhe. Msigwa aliwezafungua matawi mawili ya chama ikiwemo...
...mimi si kiongozi wa CHADEMA ila ni mwanachama wake mpya, lakini nataka kufanya mikutano ya hadhara kwetu Tabora kukitangaza chama (tarafa za Kitunda na Kipili na maeneo ya Chabutwa na Mpombwe)...
Asha-Rose Migiro, 50, becomes the first black woman and first African to hold the position of deputy UN secretary-general, a post created in 1998.
When she made history last year, becoming...
Kesi ya Mhe. Tundu Lisu itaendelea kuunguruma leo kwa upande wa walalamikiwa(TL) kuanza kutoa utetezi. Inasemekana kuwa Mhe. Tundu Lisu atatumia ushahidi wa Shahidi namba 23 aliyetoka Dar kwa...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa taarifa kwamba maoni binafsi ya viongozi na wanachama wasiokuwa na mamlaka kwa mujibu wa katiba, kanuni na itifaki ya chama kuwa wasemaji wakuu...
Kuna hil swala mie sioni kama limekaa vizuri na lina tija mbele ya watanzania ambao tunahitaji maendeleo na mustakabali wa nchi yetu. Tunafahamu kila chama cha siasa kina msemaje wake kwa mambo...
Hello Yahya, leo nilichangia kidogo katika kipindi chako ulichokua unatizama namna vyombo vya habari vilireport uchaguzi wa arumeru.
sina shida sana na namna vyombo vya habari vinareport...