Tanzania nchi ya usanii na kudanganyana. Nani angeamini kuwa TAKUKURU ingekuja na kamba kuwa itawachunguza mawaziri watuhumiwa wa ripoti ya CAG.
Hivi Takukuru walikuwa wapi wakati wote huu au...
Ni kawaida kwetu watanzania kuwanafasi ya uwaziri au ubunge ni nafasi ya "kuuaga umasikini". kwa viongoziwengi pindi wapatapo fursa tajwa hapo juu ndipo huchukua mikopo ya magari,nyumba n.k
(...
Wana jf,
Naomba mnisaidie hapa..nijuacho ni kwamba raisi akivunja baraza, hutangazwa na kuwa gazzeted!! Katika kipindi chote hiki cha vuguvugu la baraza jipya, sijawahi sikia tangazo rasmi...
baada kujiridhisha mwenyewe kwa kusoma katiba ya jamuhuri wa muungano wa tanzania,nimeona kuwa Mh Rais hakuvunja katiba ya nchi yetu kama baadhi ya watu wanavyo dai
mnaweza pia kujionea wenyewe...
Habar wakuu Nia na madhumuni yangu napenda kusema kilichomo ndani yangu. si kwa ushabiki bali kwa nia ya dhati ya kuitumikia chadema. haijalish nina...
I like this. I hope JK did the same thing, this is the kind of leadership we want to see. Keep up the good work Zitto. We are counting on you.
I phoned most of the appointees and told them...
wakuu nipo makambako kwa dakika kadhaa kabla ya kuendelea na safari yangu kurudi tunduma.kumbe leo makamanda wapo hapa, mji mdogo wa makambako umechafuka bendera za chadema ni kama ccm...
Acts 13:36 For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed
Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi...
Ni kwa kuwa alishafanya kazi na jakaya? ni kwa kuwa baba ake alikuwa pembezoni mwa chama? namshagaa january CCM anafanya nini,
lakini kama sababu na vigezo hivyo ndo kumweka kwenye baraza ni...
Kitendo wa wataalamu wa wanyama,afisa afya na watendaji wa majinchio ya vingunguti kuruhusu kuletwa utumbo na nyama iliyooza na kuuzwa kwa wananchi,kimevuka hata mipaka ya ubinadamu
Ni kweli nchi...
Gharama za matibabu Marekani ni ghali sana.
Rafiki yangu mke wake alijifunga mwaka mmoja na nusu uliopita, na tangu admitted mpaka kuruhusiwa kutoka ilikuwa siku tatu, iligharibu $ 25,640.
Miaka 8...
Mwenyekiti wa chadema freeman Mbowe amasema amepokea maombi ya mawaziri7 na wabunge70 wa ccm kujiunga chadema.
Chanzo: Tanzania daima
Gazeti nalo limechakachua. Mbowe alisema kati ya...
Kitendo cha kutafuta na kufanikisha mazingira ya kuwabakiza Magembe na Mkuchika pasipo kufanya hivyo kwa wengine pia ni hatari sana japo watu hili wanalipa uzito mdogo.Kwa sababu wote 8 walikuwa...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Songea(Ruvuma) kiliongoza wanachama na wananchi wa Songea katika maandamano ya kupinga udhalimu unaofanywa na Tanesco Songea. Hii ilitokana na ukosefu wa umeme...
Wanaccm msiposhughulikia mambo haya, hakika chama chenu kitashindwa vibaya 2015 na hata chaguzi zingine.
(1)Raisi kuwa mwenyekiti wa chama Taifa.
Hili ni tatizo kubwa sana, kwani inakuwa vigumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.