Mawaziri wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHAI CHUNGU, May 6, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mawaziri wateule wagongana madukani kutafuta suit za kuapishwa kesho.

  Chanzo-majira.
   
 2. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wanagongana madukani? Kwa hiyo wateja ni wengi na maduka ni machache!
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zito si kawaambia hakuna sherehe?baada ya hpo yatafuata matumizi lukuki ya kupongezana,huku watz wakiendelea kutaabika na hali ngumu ya maisha,kwani siku zote hawakuwa na suti? nonsence!
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli watu wenye uchungu na hii nchi ndani ya ccm wameisha.
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kutonunua suti mpya ndiyo kuwa na uchungu na nchi?
   
 6. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kaaazi kweli kweli.
   
 7. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  mbona tunadanganyana wandugu,maduka ya suti nchi hii yapo meeengi!iweje wagongane?sikubaliani nawe.
   
 8. phina

  phina JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uliataka waapishwe wakiwa wamevaa t-shirt na jeans??
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hilo gazeti limekosa habari ya kuandika
   
 10. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli maduka yanayo uza suti ni mengi lakini kuna maduka machache yanayofahamika na wengi kwa hiyo watu kugongana humo siyo kitu cha ajabu.
   
 11. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakiapishwa wamevaa Tshirt na Jeans watasema pia yaani wamekosa suti za kuapishiwa, watu ndiyo walivyo!
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,002
  Likes Received: 3,180
  Trophy Points: 280
  Mi navyojua "kugongana","kutembea" ni kufanya matusi.
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ahaaaaaa!ndio maana nimemuona "February"ananundu usoni eheeeee?!
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Suit zilikuwa chache mpaka wagongane?
   
 15. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  "KakaJambazi unazeeka vibaya!
   
 16. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  aah na kina malima na lukuvi nao wamegongana?
   
 17. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sasa hukubaliani naye kivipi? C ameshakuambia Source ni majira au unafikiri yeye katunga?
   
 18. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwani lazima wavae suti mpya
   
 19. M

  Moony JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dalili ya mvua ni mawingu.:couch2:
  Subiri matumizi yao na ufujaji wa mali ya UMMA. Ponda mali kufa kwaja
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tena ingekua ni mimi ningeenda uingereza nikanunue a designer suit ya kama £2000 maana najua nikishaanza uwaziri nitakua napata £2000 kwa lisaa limoja
   
Loading...