Zitto speaking like the president and Anna Kikwa telling it like it is | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto speaking like the president and Anna Kikwa telling it like it is

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, May 6, 2012.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I like this. I hope JK did the same thing, this is the kind of leadership we want to see. Keep up the good work Zitto. We are counting on you.

  Don
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  As far as Im concerned

  .. In all this key word is accountability and there should be no more joke on that aspect!! We r watching!!!
   
 3. k

  kalokolaVIII JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ciao!
  mimi si mshabiki wa Zitto lakini nimewahi kusoma post moja humu ndani ambapo walipaste kutoka katika link yake ya facebook na ilikuwa imeandikwa roughly " if there is a word/concept which should not miss in the new costitution...then that is ACCOUNTABILITY" na nilikubaliana naye 100% ...
   
 4. A

  Alpha JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Exactly. Tanzanians need to embrace the culture of accountability and it needs to start at the top. When the leaders are not held accountable you end up with a complete breakdown of law and order.
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :amen:
   
 6. b

  busar JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Accountability ninini? Si wapi unareport? Au?
   
 7. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hata akiwapongeza na kuwatakia kazi njema lakini kwanini wengine watoswe na wengine wapete? Nadhani ilikuwa nzuri kuwaambia kuwa waliotakiwa kujiuzulu wengine wameachwa kwa hiyo yeye atawafanyia nini ili wawajibike kisheria maana aliyetakiwa kukuwajibisha amewashindwa maana kumbe hata aliyewateua hawezi kuwatoa katika system/utawala maana nchi itaingia katika machafuko ni bora waendelee kuiba na kutesa ili kulinda usalama kwa mtazamo wa aliyewateua na si kuwatakia wezi hawa kazi njema za wizi katika ofisi za umma maana wengine wamehamishwa ili kusambaza madhara na si kumaliza tatizo la wizi wa mali ya umma
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kinachokosekana ktk Uongozi wa CCM ni Accountability na hii ni sheria ni act inayosisitizwa na utawala sio swala la mtu mmoja mmoja, hivyo kuchaguliwa kwa mawaziri wapya haiwezi kupongezwa ikiwa swala zima yenye mapungufu ni - Accountability.
   
 9. R

  Recover Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good presentation, timing and messege is smart
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Zitto is out of this place

  Nimependa sana hoja ya reli

  wanaonufaika sana kudorora kwa reli ni transporters (wahindi na warabu), wauza mafuta (wahindi na warabu), wauza malori (wahindi na warabu), wajenzi wa barabara (wahindi, warabu na maswahiba... 10% za procurement), na wauza matari na vipuri 9wahindi na waarabu

  And they would do anything kuua mfumo wowote wa kuboresha reli... MWAKYEMBE NEEDS MORE THAN A MINISTRY KUVUKA HAPO, LABDA TUPIGE MAGOTI KWA WACHINA
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  Anna Kikwa ni nani?
   
 12. s

  santesandy JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni UWAJIBIKAJI
   
Loading...