Kwa muda mrefu kumekuwa na msisitizo kuhusu kujiuzuru kwa Hosea and Jairo, lakini serikali imekuwa ililifumbia macho na masikio, ingawa sijui ni kwa maslahi ya nani ? Kama mawaziri na wengine...
Send to a friend
Saturday, 05 May 2012 21:19
*WAMO MAWAZIRI SABA, 10,000 WAKABIDHIWA KADI ARUSHA
Peter Saramba, Arusha
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Polisi Yasomba Wapigadebe Posta Mpya
Juu na chini ni WAPIGADEBE wanne wamekamatwa katika kituo cha mabasi cha Posta Mpya kwa tuhuma za kuwabughudhi abiria kituoni hapo.
Kamanda wa Polisi...
Millya Apokelewa Rasmi CHADEMA
Views
Mkutano mkubwa wa CHADEMA jana Arusha viwanja vya NMC walpowapokea rasmi wanachama wapya waliotoka CCM.
Picha kwa hisani ya Jamiiforums
Jumamosi, 05 Mei 2012
Na Fidelis Butahe | Mwananchi
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko makubwa ya Baraza lake la mawaziri ikiwa ni pamoja na kuwaondoa mawaziri sita waliokuwa...
Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alirejea nchini mwake akitokea Marekani alikopewa shahada ya heshima ya Udaktari na chuo kikuu cha Florida Agricultural and Mechanical University huko Tallahase...
kwa kumbukumbu yangu nakumbuka Dr Abdallah Kigoda alikuwa kiongozi wa wizara ya uchumi na mipango ambayo ili isimamia PSRC kuuza mashirika na viwanda , ambavyo leo hii havi fanyi hiyo kazi zaidi...
Katibu mkuu wa zamani wa CCM Yusuf Makamba aliwahi kujivuna kuwa amezaa watoto wenye bongo na hivyo lazima mwanae awe waziri. Kikwete alipovunja baraza la mawaziri kutokana na kipenzi rafiki na...
Tanzania Bureau of Standards (Taasisi ya Ubora wa Bidhaa Tanzania) ina jukumu la kukagua na kudhibiti ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani hapa nchini na hutoa vyeti (Certificates) kwa...
Mkutano ni saa nane watu wameshanzaa kutia timu ama kweli watu wana usongo...
Picha za awali
=====
======
Baada ya kuona makamanda wanaendelea vema kuripoti yanayoendelea NMC nimeona...
Kama mnavyojua uchaguzi ndani ya Ccm unaendelea, vijana wanapewa madaraka na wanawezeshwa kwenda kuvuna wanachama. Ni maslahi mapana au uchumia tumboni, ngoja tusubiri tuone. Nawasilisha.
Habari wanaJF,NI TAKRIBANI CKU MBILI ZIMEPITA TANGU RAIS JK AFANYE MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI,LAKINI BAADA YA KUFANYA MABADILIKO HAYO MAONI MBALIMBALI YAMETOLEWA NA WATU WA AINA...
Nimehadithiwa soon kwamba babu alikuwa miongoni mwa watu waliochanga vijisenti vyao walivyokuwa navyo ili kumsafirisha Mwalimu kwenda Uingereza kwa Malkia kudai uhuru wa Tanganyika. Nakumbuka...
kwa kuwa tuko kwenye mchakato wa maoni ya katiba mpya nimekuja na wazo la nafasi ya balozi wa nyumba kumi.
Nionavo mimi hii ni nafasi muhimu sana katika kuhamasiha, kuchochea na kusimamia...
Muheshimiwa mwenyekiti kamanda wetu Freeman mbowe,
Najua unapita humu ndani na wapambe wako wengi tuko nao
Mimi ni mwanachama wako mtiifu na tuko pamoja kuikomboa nchi hii kutoka kwa hawa mapaka...
Kalenga MP Dr William Mgimwa said they wanted to be sure that the plan would have impact on the countrys economy, warning if the government failed to draw up a proper budget and control...
Wana-ccm napenda kuwajuza kuwa pamoja na mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyofanywa na mhe. Jk, hakuna jipya tuwezalo kulitarajia kwani ufisadi bado ni sera ya ccm.
Kwa kufuta azimio la arusha...
Chama makini ambacho kwa sasa ndicho pekee kilicho beba matumaini ya watanzania kimedhihirisha kuwa ndio chama pekee kinacho weza kuvunja majabali ya vikwazo na mikwamo inayo wakabili watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.