UTENDAJI,UMAKINI na UADILIFU wa OTOUH ni vigezo vya kumfanya awe RAIS siku zijazo akipenda na Wtz wakipenda.Namsihi ajitathmini USOMI NA UTENDAJI wake unaweza kumfikisha mbali.
Wana JF baada ya badiliko la mawaziri lililopelekea aliyekuwa waziri wa viwanda na Biashara ndg Cyril Chami kutemwa,imedhihirika ripoti zote za CAG hazimtaji moja kwa moja ila ni...
Na Reginald Miruko - Imechapwa 02 May 2012
SIKUTUMIA fedha kushinda ubunge wa Afrika Mashariki. Nitumie fedha za nini utampa nani? Pale ukitoa pesa huchaguliwi, wabunge wataona unataka...
:director:Unajua watu wengi hawajui uongozi, mh mkuu wa wilaya amejiuzulu kuna tatizo gani? ? mf mwalimu watoto wameshindwa mitihani yao hujaachia ngazi unasubiri viboko? wewe ni mwalimu mkuu...
Niko Handeni, Tanga na ADC wana mkutano wao hapa. Doyo anasema baada ya kuondoka cuf hakujiunga na cdm au nccr kwasababu vyama vyote hivyo vina tabia zinazofanana na cuf. Anasema cuf iliwatimua...
Chenge amekuwa ana chip in mara kwa mara katika mijadala hot na mara nyingi akiikosoa na kusahihisha hata lugha.
Werema anatakiwa ajitahidi sana kwani naona kila mara anakuwa kama mtu mwenye hasira.
Wakuu huku karatu mida hii yupo Alphonce Mawazo akisaidia kuwavua magamba watu wa karatu, mkutano ni mkubwa sana na watu ni wengi mno, Mawazo anaongoza mashambulizi huku na anawachana magamba ile...
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi...
Sun, May 6th, 2012
Tanzania | Sun, May 6th, 2012un, May 6th, 2012
Fred Mpendazoe
Lawyers representing Fred Mpendazoe have submitted a notice of appeal to the High Court. The appeal comes...
Mahakama kuu kanda ya tabora imetupilia
mbali kesi ya ubunge wajimbo la
shinyanga mjini iliyokuwa
imefunguliwa na wapiga kura
dhidi ya mh. Steven masele
Mbunge mpambanaji Cecilia Pareso aliye apishwa hivi karibuni katika bunge lililopita huko Dodoma,leo ameandaliwa mapokezi makubwa wilayani Karatu,yanayoratibiwa na Baraza la Vijana la...
Upepo huu wa mabadiko ya wasomi wa Mafia hasa vijana unakuweka Mbali na utawala wa kisiwa Chetu. Utumiaji wa mitandao ya jamii na kuhamasihana ktk mabadiliko kunamuweka mbali mbunge weti...
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua...
Abdul Karim Hussein has been based in Burundi for the past 16 years. He's been in Mpimba prison since January 12 By MIKE MANDE
Posted Saturday, May 5 2012 at 12:47
A diplomatic row is...
Ni dhahiri sasa wana ccm wengi wana mkumbuka Nyerere,hasa pale Alipo waambia wana ccm kuwa Kikwete ni mdogo asubiri kwanza.wanamkumbuka sana na kujutia uteuzi wao kwa kumkabidhi jk Nchi sasa Nchi...
Habari kuwa mawaziri 7 waliopo katika baraza la mawaziri wa JK na wabunge 70 wameomba kuvalishwa magwanda ni ya kustua sana kwani inaweza kusababisha serikali kusambaratika.
Hapa hoja yangu...
Wakuu,
Nimekuwa nafuatilia kwa karibu haya maendeleo ya mageuzi katika nchi yetu, kwa muda mrefu wengi wetu tumekuwa na dhana inayoelekea kuamini kuwa Mkuu wa Nchi plae jengoni, amekuwa 'catalyst'...
Prof. Mark Mwandosya & Dk. Ali Mohamed Shein ni mawaziri wasiokuwa na wizara malum ni uteuzi wa aina yake ambao haujawahi kutokea mahali popote pale Ulimwenguni.
Kwa muda mrefu kumekuwa na msisitizo kuhusu kujiuzuru kwa Hosea and Jairo, lakini serikali imekuwa ililifumbia macho na masikio, ingawa sijui ni kwa maslahi ya nani ? Kama mawaziri na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.