Haya ndio mambo makubwa yanayoigharimu ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ndio mambo makubwa yanayoigharimu ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, May 6, 2012.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 22,443
  Likes Received: 28,191
  Trophy Points: 280
  Wanaccm msiposhughulikia mambo haya, hakika chama chenu kitashindwa vibaya 2015 na hata chaguzi zingine.
  (1)Raisi kuwa mwenyekiti wa chama Taifa.
  Hili ni tatizo kubwa sana, kwani inakuwa vigumu kwa chama kuisimamia serikali hata pale inapoboronga kwa mfano hali ilivyo sasa.
  (2)Utaratibu kuwa raisi aliyepo lazima atumikie vipindi 2 vya miaka mitano mitano.
  Hakika huu ni utaratibu mbovu sana kwani hata kama ataonekana kupwaya au kuvurunda ktk kipindi cha kwanza shariti apewe kipindi cha pili na ukimpinga chama kinakujia juu.Kigezo kiwe ni uwezo ni si kubebana na athari yake hata nyie sasa mnaiona.
  (3)Individuals kuwa muhimu kuliko hata chama.
  Inasikitisha sana ccm ya leo iko radhi kubeba watu wachache kwa gharama ya chama kizima.Mtu amefanya madhambi ya wazi ila atalindwa kwa nguvu zote bila kujali athari kwa chama.Kulindana ni cancer ianayotafuna taswira ya chama chenu mbele ya macho ya umma.
  (4)CCM ya leo kutokujali na kupuuza shida za maskini walio wengi na kujali matajiri kuanzia kwenye chama chenyewe na nchi nzima kwa ujumla.
  (5)Wanaccm wenyewe kushindwa kukemeana,kukosoana na kuelzena ukweli pale mnapokosea na badala yake mmewaachia wapinzani hakika watazidi kupanda chati.
  (5)Ahadi za miaka nenda rudi zisizotekelezwa.
  (6)Wanaccm kumuona raisi kama mungu mtu asiyestahili kukosolewa na badala yake kujipendekeza kwake mkitarajia kupewa vyeo.Mkosoeni siyo kujipendekeza anakiathiri chama.
  (7)Viongozi na wanaccm kutokusoma alama za nyakati.
  Athari yake mnashindwa kujua nini umma wa watanzania unataka kwa sasa na mmebaki kuhubiri siasa za kizamani za amani na utulivu.Watanzania wa leo wanajua hata wapinzani wanaamini na kuthamini uwepo wa amani na utulivu.
  (8)Rushwa wakati wa uchaguzi.
  Hii ni wakati wa uteuzi wa wagombea ndani ya chama na kwa wapiga kura kwa ujumla.Kumbukeni sasa hivi vyombo vya habari vinaendesha elimu ya uraia isiyo rasimi na watanzania wanaelimika na kujua athari ya rushwa hasa kwenye uchaguzi.
  (9)Siasa za makundi na ufalume wa kupeana madaraka unaojipenyeza kwa kasi ndani ya chama chenu.
  Hapa sihitaji kutoa ufafanuzi wenyewe mnayajua haya.
  Huu ni ushauri wa bure kwenu.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,833
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280

  'mgeni' wa ukweli.

  karibu jamvini.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kwa maneno mengine CCM ni gumegume
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wayashughlikieje? kwa kubadili katiba? maana vikao vyote vya ccm ajenda huanzia sekretariat kisha cc huzibariki. sasa nani wa kumfunga paka kengele?
   
 5. D

  DUBE Senior Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  NI kweli kabisa ndugu unaona mbali na hilo na hayo yote CCM hawaoni ata moja kwa hiyo lazima chama kianguke kwenye uchanguzi ujao tena vibaya sana
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  i couldnt agree more
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,891
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu, tambua kwamba ukimwamsha aliyelala utaishia kulala wewe. Waache tu wasinzie na kuweweseka kwamba "wako imara na watatawala milele" - Nape.
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,527
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  ....'don't interfere your enemy while he is making mistakes', are you for the sake of cCM's renaissance guy?no matter what this party has to go.
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  these are what we call "the obvious"
   
 10. K

  Keil JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mpita Njia kiswahili kimenipiga chenga, gumegume ni nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. K

  Keil JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu Rweye,

  Kwa hali ilivyo sasa hivi hakuna intervention ya aina yoyote itakayoisaidia CCM kuwa na nguvu kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Mwaka jana wamejaribu sana ku-introduce some changes na wakaenda mpaka kwenye kubadilisha Katiba hasa kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC, bado ilipata upinzani wa kutosha na sioni hata namna ambavyo huo utaratibu mpya utawasaidia kukirekebisha chama.

  CCM itakuja kuwa imara au kufa kabisa mara baada ya kupigwa benchi au kufanywa chama cha upinzani, lakini bahati mbaya wabunge wake wengi ni opportunists, once wakishaona jahazi linazama watahamia kwenye vyama vya upinzani, and that will be another KANU ambayo inaelekea kupotea kabisa kwenye masikio ya wananchi. Kwa kuwa viongozi wengi wa KANU walikuwa wapo kimaslahi zaidi na sio kuwatumikia wananchi na hawakuunganishwa na itikadi bali waliunganishwa na nia ya ulaji tu.

  Kwa hiyo mkuu usiwe na wasiwasi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hapo cdm mbona dr Slaa ni mungu mtu pamoja na mbowe
   
 13. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jitu lisiloeleweka,mfano Lusinde.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unauhakika,au ndo vile Umetumwa kuharibia watu.
   
 15. w

  wade kibadu Senior Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenene kwenye mentality yangu.
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ni sawa na GOP- Grand Old Party
   
 17. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wape vdonge vyao.
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,916
  Likes Received: 2,181
  Trophy Points: 280
  Sawasawa mkuu! Ila waache walalelale kwanza,siku wakiamka itakuwa tayari ni mchana wa jua kali! Hawana cha kudanganya tena,
   
 19. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  well said!
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nadhani kuna kitu walikuudhi ndiyo maana ukajipa jina hili ila kumbuka kuwa sikio la kufa halisikii dawa
   
Loading...