Ngeleja, Tulikupenda zaidi na tutakukumbuka sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja, Tulikupenda zaidi na tutakukumbuka sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, May 5, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,879
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Huyu si mwingine ni mzee wa megawati. Wiliam Ngeleja hiyo ndo ilikuwa siku yako ya mwisho kwa baraza la Jk
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,501
  Likes Received: 11,383
  Trophy Points: 280
  his legacy will remain but he is gone
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 12,972
  Likes Received: 5,854
  Trophy Points: 280
  so long mr. megawatt
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Nasikia majirani zake wa eneo fulani hivi huko Kimara linaitwa Kilungule walikuwa wanasubiri kumpokea baada ya kuondolewa serikalini wakidhani sasa anarudi huko madongo poromoka. Kumbe masikini hawakujua kwamba alishanunua apartment uzunguni!
   
 5. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tanzania bila umeme inawezekana. Hii si ndio kauli mbiu yake?
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,390
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Na sengerema ajue imekwenda cdm 2015,karibu mtaani mr megawatt
   
 7. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,267
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  mliimpenda kwa lipi?
  Sio mbaya kumwanbia tulikuchukia sana ! Sasa tunafurahi kuonddolewa!
   
 8. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,671
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mr megawati!
   
 9. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,575
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Karibu duniani, mr. Megawat. Huku si tumepazoea polepole na we utpazoea... Karibu tena.
   
 10. K

  Kaseisi Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du hata hivyo alikomaa kweli kweli. Sijaona Msukuma mbishi kama huyu ndugu.
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kapumzike mahali pema!
   
 12. J

  Jipemoyo Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Mr. megawat karibu sana ukelewe tuvue samaki, ya ngoswe mwachie Ngoswe!
   
 13. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,023
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 180
  Nilichelewa kumpa pole jirani yetu...ana nyumba yake nzuri pale kilungule!! yani jirani katuacha madongo kuinama na megawatti zero!!
   
 14. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jf mhhh!
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,130
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  Kweli Watanzania mmelogwa na aliwaloga kafa, Ngeleja bado ni Mbunge na atakuwa analamba mshahara wa millioni saba kila mwezi plus marupurupu na shangingi juu na pesa ya mafuta plus pesa ya mfuko wa jimbo. nwashauri mjipe pole nyinyi wenyewe kwa kuendelea kusota na haya maisha mabovu.
   
 16. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,879
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  megawatt 3300 kwenye grid ya taifa zitakuwa tiyari kufikia 2014, maneno yako haya
   
 17. m

  mharakati JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,274
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Amefanyikiwa kile alichokua anakitaka nacho ni uTaJiri.

  huyu hakua kiongozi wala mwanasiasa ila alikua kijana maskini, lakini mwenye akili toka usukumani mwenye ndoto za kuja kua tajiri siku moja na alikua na aliweza tumia akili zake kujua njia rahisi na ya haraka ya kua tajiri ni siasa. pongezi zake amefanikiwa kwa hilo (pamoja na ndugu yetu mwingine Maige)
   
 18. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,902
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Pesa alizochuma zinaweza kumfanya aishi bila kutegemea gridi ya taifa.
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pesa inayoingia kirahisi hutoka kirahisi.
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  na kule arusha alivyokua anachota madini ya tanzanite bila kufuata utaratibu na sheria na kuzisafirisha nchi za nje...huyu jamaa lazima ni billionea:mad::mad:
   
Loading...