Mawaziri 7 wabunge 70 wa CCM kujiunga CHADEMA!

Mawaziri 7 wabunge 70 wa CCM kujiunga CHADEMA!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
946
Mwenyekiti wa chadema freeman Mbowe amasema amepokea maombi ya mawaziri7 na wabunge70 wa ccm kujiunga chadema.

Chanzo: Tanzania daima

Gazeti nalo limechakachua. Mbowe alisema kati ya mawaziri walioteuliwa juzi, 9 wamebook nafasi, na yeye akawaambia wakichelewa Safina itafungwa.

Mwananchi:
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuna zaidi ya wabunge 70 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameomba kujiunga na chama hicho cha upinzani.

Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya NMC, Unga Ltd, jijini Arusha jana, Mbowe alisema katika orodha hiyo, wamo mawaziri saba waliotajwa katika Baraza lililotangazwa juzi na Rais
Jakaya Kikwete.

“Sasa wanaowataja akina Ole Millya, Bananga na wengine watashangaa kusikia orodha na majina ya wana CCM watakaojiunga Chadema,” alisema Mbowe.

Alitumia mkutano huo kuwatoa hofu wana Chadema wanaotilia shaka wimbi la viongozi na wana CCM wanaojiengua na kujiunga na chama hicho kikuu cha upinzani kuwa Chadema iko imara na hakiwezi kuhujumiwa wala kupenyezewa mamluki kama baadhi wanavyodhani.
 
Mimi ni CDM lakini kwa hili!!!!!????................ Kwi! Kwi! Kwi kwi!!!!ha! Ha!
 
Mwenyekiti wa chadema freeman Mbowe amasema amepokea maombi ya mawaziri7 na wabunge70 wa ccm kujiunga chadema.

Chanzo:Tanzania daima.
hao waliomba kujiunga cdm ndio wanaotoa siri za serikali ni baraka kwa ccm kuwa magamba yanaondoka yenyewe yanakimbilia cdm
 
Gazeti nalo limechakachua. Mbowe alisema kati ya mawaziri walioteuliwa juzi, 9 wamebook nafasi, na yeye akawaambia wakichelewa Safina itafungwa.
 
Hao wote ni "opportunists", wangekuwa na nia kweli ya kujiunga na CHADEMA wangeanza kwa kuunga mkono hoja ya Zitto.

Hao wabunge wa CCM huwa siwaamini hata kidogo. Waliitosa CCJ na Mpendazoe na mpaka leo hii bado wanakula bata ndani ya CCM. Jamaa wakishaona chama kinapoteza mwelekeo ndio wanaanza kusaka sehemu ya kwenda kutumia kama uchochoro wa kurudi Mjengoni, wakiona mambo poa wanatulia tuli.

Kama kweli wanataka kuhama, wanasubiri nini huko CCM. Watakaosubiri mpaka Bunge livunjwe hapo September 2015, au baada ya kutoswa kwenye kura za maoni, wanaweza kuja kuwa akina Shibuda. I hate mambo ya papo kwa papo na ndio wakati mwingine yanasababisha vurugu kwenye vyama vya siasa. Maana unaweza kuta kuna mwanachama amefanya kazi ya kukiimarisha chama, halafu anakuja mwingine from no where anapewa nomination ya bure.
 
Tuwapokee ila watakuwa wanachama wa kawaida kabisa.
 
Mwenyekiti wa chadema freeman Mbowe amasema amepokea maombi ya mawaziri7 na wabunge70 wa ccm kujiunga chadema.

Chanzo: Tanzania daima

warudishe mali zote walizoiba kwa wananchi then ikithibitika wamefanya hivyo ndo wapokelewe.
 
Kama wanamaanisha kweli wajiuzuru nyadhifa zao sasa na kujiunga CDM. kama wanasubiri vipindi vyao vya uongozi viishe watakuwa ni ma-optunist tu hawana kitu.
 
Hao wote ni "opportunists", wangekuwa na nia kweli ya kujiunga na CHADEMA wangeanza kwa kuunga mkono hoja ya Zitto.

Hao wabunge wa CCM huwa siwaamini hata kidogo. Waliitosa CCJ na Mpendazoe na mpaka leo hii bado wanakula bata ndani ya CCM. Jamaa wakishaona chama kinapoteza mwelekeo ndio wanaanza kusaka sehemu ya kwenda kutumia kama uchochoro wa kurudi Mjengoni, wakiona mambo poa wanatulia tuli.

Kama kweli wanataka kuhama, wanasubiri nini huko CCM. Watakaosubiri mpaka Bunge livunjwe hapo September 2015, au baada ya kutoswa kwenye kura za maoni, wanaweza kuja kuwa akina Shibuda. I hate mambo ya papo kwa papo na ndio wakati mwingine yanasababisha vurugu kwenye vyama vya siasa. Maana unaweza kuta kuna mwanachama amefanya kazi ya kukiimarisha chama, halafu anakuja mwingine from no where anapewa nomination ya bure.

Hapo umeongea point! Ni ngumu sana kuibadili tabia ya mtu,sasa kama tunataka CHADEMA ichukue nchi 2015,je,hawa wanaohamia huku ni wasafi? Chama chetu kipo safi,alafu tunapokea watu wachafu,tunategemea nini? Mi nadhani Chadema isimpokee tu kila mtu,bali itafakari kwanza kama hawa wanafaa kubadilika au lah!Ingekuwa vema kama tungebaki na watu wetu wasafi,watakao tuletea ukombozi wa kweli.Kwanini hawa wabunge hawakuunga mkono hoja ya zito kule bungeni? Inaonyesha jinsi walivyo wanafki.
 
Back
Top Bottom