Mh sugu,Mh silinde,mh msigwa wafunika makambako.!

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,306
wakuu nipo makambako kwa dakika kadhaa kabla ya kuendelea na safari yangu kurudi tunduma.kumbe leo makamanda wapo hapa, mji mdogo wa makambako umechafuka bendera za chadema ni kama ccm haipo..naona sasa wenyeviti pamoja na viongozi mbalimbali wa matawi wanatambulishwa kwa wananchi kabla kikosi cha anga hakijafika kushambulia. Naambiwa muda sio mrefu watafika.!
 
Big up makamanda! Njombe is very potential for young and strong politics like those of CHADEMA sasa wasiishie Makambako tu wafike hata Igwachanya, Mdandu, Kidugala, Kipengere, Uwemba, Makoga, Luponde,Usuka ,Ilembula, Saja, Lupembe, Igongolo,Igosi, Chalowe,Wangama, Mtwango,Kichiwa, Kifanya,etc.
 
mkuu hapa wametambulishwa wenyeviti wa chadema vijijini zaidi ya hamsini na bado wanaendelea kutambulishwa.!
 
viongozi wa chadema kama hawajajiandaa kuchukua nchi bora waseme mapema kwa maana hamasa walionayo wananchi ni kubwa sana.
 
katika tanzania nzima, makambako naiheshimu kwa baridi, watu wanaweza wasihudhulie mkafikiri wamesusa kumbe baridi. kama wameweza kutokelezea kiasi hicho basi magamba wamekwisha. tunaomba mtuwekee picha tuone.
 
salamu ya leo chadema makambako.. Chademaaaa!!!! Kamata mwizi meni.!! Wakuu hadi raha

hii ndio nilikua nataka kusikia kua leo cdm wako makambako....sio kila siku arusha arusha arusha and arushaa...:yawn:
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom